(Sung in Swahili)

Dhamira yangu Kujua (My desire is to know)
Nina wewe Yesu (That I have You Jesus)
Dhamira yangu Kujua (My desire is to know)
Nina wewe Yesu (That I have You Jesus)
Asubuhi, mchana wote (Morning, all afternoon)
Jioni hata usiku (Evening and even night)
Kwenye hali zote (In all situations)
Nitembee na wewe (To walk with You)
Oh Baba, Oh Yesu (Oh Father, oh Jesus)

Refrain:
Wewe ni kiu yangu (You are my thirst)
Njaa ya moyo wangu (The one my soul hungers for)
Wewe ni Mungu wangu (You are my God)
Mfalme wa moyo wangu (The King of my heart) (Repeat)
Nitakase, nifundishe (Cleanse me, teach me)
Niongoze, nifinyange (Lead me, mould me) (Repeat)

Kama ayala ayatamanivyo maji
(Like the deer pants for water)
Ndivyo moyo wangu una zaidi wa kutamani
(My heart has the  same yearning for You)
Oh Baba yangu, ninashuka mbele zako
(Oh Father I humble myself before You)
Mapenzi yako yatimizwe maishani mwangu Yesu
(May Your will be done in my life Jesus)
Usipolinda wewe mji walindao wanafanya kazi bure
(If You do not watch over a city, the watchmen watch in vain)
Usipojenga wewe mji wajengao wafanya kazi bure
(If You do not build a city, the builders build in vain)
Nakutamani Yesu zaidi maishani mwangu
(I desire You Jesus in my life)

(Refrain)