(Sung in Swahili)

Mataifa yote yatakusanyika (All nations will assemble)
Mbele zako Bwana Mwokozi (Before you Lord the Savior)
(Repeat)

Wakikuabudu, Bwana (Lord, They will worship You)
Na kukuinua, Bwana (And Lift Your Name Lord)
Na kukuheshimu, Bwana (And Glorify You Lord)
Hallelujah, Bwana (Praise the Lord)
(Repeat)

Sisi wana wako tumekusanyika (We Your children have gathered)
Mbele zako Bwana Mwokozi (Before You Lord our savior)
(Repeat)

Twakuinua, Bwana (Lifting You up Lord) x3
Bwana, Hallelujah, Bwana (Lord, Praise the Lord)
Twakuheshimu, Bwana (We Glorify You, Lord) x3
Bwana, Hallelujah, Bwana (Lord, Praise the Lord)

Mimi mwana wako naja mbele zako (I have come before You, your child)
Nanyenyekea mbele zako leo (I humble myself before You today)
(Repeat)

Nakuhitaji, Bwana (Lord I need You) x3
Hallelujah, Bwana (Praise Your Name Lord)
Unifinyange, Bwana (Mould Me, Lord)
Nifinyange leo, Bwana (Mould me today, Lord)
Unifinyange, Bwana (Mould me, Lord)
Bwana, Hallelujah, Bwana (Lord, Praise Your Name)
Pokea sifa, Bwana (Lord receive the Glory) x3
Bwana, Hallelujah, Bwana (Lord, Praise Your Name)
Unastahili, Bwana (Lord You deserve)
Kuabudiwa, Bwana (To be worshiped, Lord)
Kupewa sifa, Bwana (To be praised, Lord)
Bwana, Hallelujah, Bwana (Lord, Praise Your Name)

Nakusujudu, Bwana (I’m prostrate before You Lord)
Nakuinamia, Bwana (I bow before You, Lord)
Nakuabudu, Bwana (I worship You, Lord)
Bwana, Hallelujah, Bwana (Lord, Praise Your Name)

Ni hallelujah, Bwana (It is a Hallelujah, Lord)
Hallelujah, Bwana (Hallelujah, Lord)
Oh Hallelujah, Bwana (Oh Praise Your Name, Lord)
Bwana, Hallelujah, Bwana (Praise Your Name, Lord)
(Repeat)