(Sung in Swahili)

Ee mungu wa miungu (Oh God of gods)
Ume tukuka (You are Glorified)
Muumbaji wa vyote duniani na mbingu (Creator of all, on earth and in heaven)
Tunakuinamia (We bow before You) (Repeat)

Refrain:
Wa ajabu! wewe wa ajabu (Awesome, You are Awesome)
Mfalme wa wafalme (King of kings)
Mwenye enzi (The Sovereign One)
Tunakuabudu (We worship You)

Utukufu na heshima (Glory and Honor)
Kwako ewe Mungu (Unto You, Oh God)
Pia nguvu na shukrani (Also Power and gratitude)
Kwako ewe Mungu (Unto You, Oh God) (Repeat)

(Refrain)

Mtakatifu, mwaminifu (Holy, Faithful)
Tunakuinamia (We bow before You)
El Shaddai, Adonai (Lord, God Almighty)
Alpha na Omega (The Beginning and the end) (Repeat)

(Refrain)

Mfalme wa wafalme (King of kings)
Mwenye enzi (The Sovereign One)
Tunakuabudu (We worship You)