(Sung in Swahili)

Refrain:
Naijulikane leo hii (Let it be known today)
Mungu wangu anaweza (That my God is able)
(Repeat)

Nakuabudu Muumba wangu (I worship You my Creator)
Mambo mazito umetenda (For You have done great things)
Anayenifaidi ni nani ila ni Yesu? (Who benefits me if not Jesus?)
Anayenipigania ni nani ila ni Yesu (Who fights for me if not Jesus?)
Najua kuna Mungu anayejibu maombi
(I know that there is a God who answers prayers)

(Refrain)

Naijulikane leo muumba mbingu na nchi
(Let it be known today that the creator of heaven and earth)
Anaweza mambo yote (Is able to do all things)
Yanayopita fahamu za wanadamu
(That surpasses all human understanding)
Eh Baba unitetea kwa haki
(Oh father, You have defended me with justice)
Nakuabudu Yahweh (Lord I worship You)
Mambo mazito umenitendea (You have done great things for me)

(Refrain)