(Sung in Swahili)

Refrain:
Inuka uangaze (Arise and shine)
Nyota yako inang’aa (For the Glory in you shines)
Inuka uangaze (Arise and shine)

Walioficha baraka zako (Those who hid your blessings)
Walioficha ndoto zako (Those who hid your visions)
Wanaiachilia leo kwa jina la Yesu (Will release it in the Name of Jesus)
Walioua maono yako ili usifanikiwe (Those who killed your prophesies so that you fail)
Walioua nyota yako, hao (Those who killed your star)
Walioficha jina lako, wasiri hao (Those who hid your name, those secreters)
Wanaachilia leo kwa jina la Yesu (Will release it in the Name of Jesus)
Kuna damu inatakasa, damu ya Yesu (There is a blood that cleanses, the Blood of Jesus)
Inaondoa laana kuwa Baraka (It changes curses to blessings)

(Refrain)

Yusufu aliota ndoto, kwamba wanamwinamia (Joseph dreamed that they will bow before him)
Ndugu zake wakaficha maono yake (But his brothers hid his dream)
Lakini mbeba maono hafi, lazima yatimie (But the carrier of dreams does not die, they must come to pass)
Yusufu kawa mfalme (And Joseph became king)
Haijalishi umebeba maono gani, ndugu yangu eh (My brother it does not matter what dreams you carry in you)
Siku moja yatatimia (One day they shall come to pass)
Maono yako ya huduma, yatatimia (The vision for your ministry, will come to pass)
Maono yako ya masomo (The vision for your education)

(Refrain)

Yesu anafanya njia pasipo na njia (Jesus makes a way where there is no way)
Yesu anafanya mwanga kwenye giza (Jesus makes the light in the darkness)
(Repeat)

(Refrain)