Advertisements

Inuka (Arise) Lyrics by Florence Andenyi

Leave a comment

(Sung in Swahili)

Refrain:
Inuka uangaze (Arise and shine)
Nyota yako inang’aa (For the Glory in you shines)
Inuka uangaze (Arise and shine)

Walioficha baraka zako (Those who hid your blessings)
Walioficha ndoto zako (Those who hid your visions)
Wanaiachilia leo kwa jina la Yesu (Will release it in the Name of Jesus)
Walioua maono yako ili usifanikiwe (Those who killed your prophesies so that you fail)
Walioua nyota yako, hao (Those who killed your star)
Walioficha jina lako, wasiri hao (Those who hid your name, those secreters)
Wanaachilia leo kwa jina la Yesu (Will release it in the Name of Jesus)
Kuna damu inatakasa, damu ya Yesu (There is a blood that cleanses, the Blood of Jesus)
Inaondoa laana kuwa Baraka (It changes curses to blessings)

(Refrain)

Yusufu aliota ndoto, kwamba wanamwinamia (Joseph dreamed that they will bow before him)
Ndugu zake wakaficha maono yake (But his brothers hid his dream)
Lakini mbeba maono hafi, lazima yatimie (But the carrier of dreams does not die, they must come to pass)
Yusufu kawa mfalme (And Joseph became king)
Haijalishi umebeba maono gani, ndugu yangu eh (My brother it does not matter what dreams you carry in you)
Siku moja yatatimia (One day they shall come to pass)
Maono yako ya huduma, yatatimia (The vision for your ministry, will come to pass)
Maono yako ya masomo (The vision for your education)

(Refrain)

Yesu anafanya njia pasipo na njia (Jesus makes a way where there is no way)
Yesu anafanya mwanga kwenye giza (Jesus makes the light in the darkness)
(Repeat)

(Refrain)

Advertisements

Kibali (Approval) Lyrics by Florence Andenyi

8 Comments

(Sung in Swahili)

Baba naomba kibali Chako (Father I ask for Your approval)
Yesu naomba ushirika Wako (Jesus I pray for Your fellowship)
Masiya naomba kibali Chako (Messiah I pray for your approval)
Kibali Chako, kwa uimbaji wangu (Your approval for my singing)
Kibali Chako, kwa huduma yangu (Your approval for my ministry)

Nishikilie nisianguke Baba (Father Hold me that I may not fall)
Natamani nikae na wewe maishani (I desire to abide with Youu in life)
Ninapoimba uwepo wako ushuke Baba (When I sing, may your presence come)
Nisiwe na kiburi ndani yangu nitumie Baba
(That I should not harbour any boast, use me Father)
Kama ndabihu iliyosafi Mbele zako, nitumie Yesu
(As a worthy offering before You, use me Jesus)

Naona mbingu zikifunguka katika kuabudu (I see the heavens open in worship)
Naona sifa zikitanda dunia yote (I see praises spreading across the world)
Najitoa kama dhabihu nitumie Baba (I give myself as an offering, use me Father)
Wewe ni mwema sana umetukuka (You are good, You are exalted)
Hakuna kama wewe (There is no one like you)
Wewe ni mwema sana umetukuka (You are good, You are exalted)
Hakuna kama wewe (There is no one like you)

Naona mbingu zikifunguka katika kuabudu (I see the heavens open in worship)
Naona sifa zikitanda dunia yote (I see praises spreading across the world)
Naona mbingu zikifunguka katika kuabudu (I see the heavens open in worship)
Naona sifa zikitanda dunia yote (I see praises spreading across the world)

Nishikilie nisianguke Baba (Father hold me that I may not fall)
Ukiniacha nitamezwa na dunia (If you abandon me, I’ll be swallowed by the world)
Naomba unishikilie wokovu wangu (I pray for You to hold my salvation)
Naomba unishikilie imani yangu (I pray for You to hold my faith)

Achilia kibali chako ndani yangu (Release your approval within me)
Achilia uwepo wako ndani yangu (Release your presence within me)
Achilia ushindi wako juu yangu (Release your victory on me)
Achilia amani yako juu yangu (Release your peace on me)
Achilia kibali chako ndani yangu (Release your approval within me)
Achilia uwepo wako ndani yangu (Release your presence within me)

(Verse 1)

Naona mbingu zikifunguka katika kuabudu (I see the heavens open in worship)
Naona sifa zikitanda dunia yote (I see praises spreading across the world)
Naona mbingu zikifunguka katika kuabudu (I see the heavens open in worship)
Naona sifa zikitanda dunia yote (I see praises spreading across the world)

%d bloggers like this: