(Sung in Swahili)

Refrain:
Ni poa kuwa na rafiki kama Yesu (It is good to have a Friend like Jesus)
Ukianguka kwa shimo anakutoa (When you fall into a hole, He rescues you)
Ni poa kuwa na rafiki kama Yesu (It is good to have a Friend like Jesus)
Ukiwa mwenye dhambi, anakuokoa (If You are a sinner, He saves you)

Na je, rafiki yako akisikia (Should your Friend hear)
Kwamba ndugu yako ameaga dunia (That your brother has passed away)
Siku ya nne, anatokea (He will show up on the fourth day)
Na ndugu yako, rafiki anamfufua (Your brother, your Friend will raise him)

Na je, rafiki yako ukimwambia (Should you tell your Friend)
Ati hujalipa kodi, wanatukujia (That You have not paid taxes, they’re coming for you)
Anakutuma kafungue mdomo wa samaki (He sends you to open a fish’s mouth)
Hapo ndani kuna mapeni, lipa kodi (Inside it there is money, pay your taxes)

(Refrain)

Imagine, Rafiki amaye haogopi (Imagine a Friend that does not fear)
Imagine, Rafiki ambaye hatoroki (Imagine a Friend that does not flee)
Imagine, Rafiki ambaye hakuwachi (Imagine a Friend that will not abandon you)
Hata maji rafiki yanamtii (Even the waters obeys Him)

Mawimbi yakija, rafiki anakemea, kemea (When the waves come, Friend rebukes them)
Juu ya maji, rafiki anatembea, tembea (On water, the Friends walks)
Hakuna jambo Yesu linamlemea, lemea (There is nothing impossible to Jesus)
Yesu ni Rafiki, anakungojea (Jesus is a Friend, He is waiting for You)

(Refrain)