(Sung in Swahili)

Bwana wangu naomba unisikie nijapo mbele yako nikiimba
(My Lord I pray that you hear my song before You)
Naomba unisikie, naomba unisikie
(I pray that you hear, I pray that you listen)
Wimbo wangu siku ya leo si mwingine
(My song today is none other)
Bali ni wimbo wa shukrani
(Than a song of thanksgiving)
Bwana asante, kwa yote umenitendea
(Lord thank you, for all that you have done for me)
(Repeat)

Refrain:
Leo naamua, kubadili mtazamo wangu, Baba
(Father today I have resolved to change my perspective)
Unajua muda mwingi nijapo mbele zako
(You know a lot of times when I am before You)
Huwa naja nikalalamika
(I only come with complaints)
Lakini leo, naleta shukrani, shukrani!
(But today, I bring Thanksgiving, thanks!)
Oh! wastahii shukrani Baba
(Oh, Father You deserve the thanks)

Muda wowote nikipatwa na jambo baya
(Any time when I encounter trouble)
Siwezi sahau kulalamika
(I do not forget to complain)
Kawaida ya mwanadamu, mwepesi wa kulalamika
(As is usual with humans, easy to complain)
Lakini kwa mazuri muda mwingi
(But in good times a lot of times)
Huwa nachukulia kawaida tu
(I take it as usual)
Leo nakuja kwa sauti ya shukrani
(Today I come with a voice of thanks)

(Refrain)

Inapendeza kuja mbele zako
(It is good to come before you)
Na sauti ya shukrani ewe Bwana wangu
(With a voice of thanks, Oh my Lord)
Inatupasa wanadamu, kukushukuru daima
(We have to as humans, to thank you forever)
Ni vema kuwa na shukrani nyingi kuliko malamiko oh
(Ohm It is good to have more thanksgiving than complaints)
Leo twakuja kwa sauti ya shukrani
(Today we come with a voice of thanks)

(Refrain)