(Sung in Swahili)

Mfalme mwema, mwaminifu (Good and Faithful King)
Baba muweza yote (Father, able to do all things)
Una nguvu haushindwi (You are Powerful, cannot be defeated)
Pokea utukufu (Receive the Glory) (Repeat)

Refrain:
Twakupa heshima na sifa zote (We give you all the honor and praise)
Ewe Mungu umetukuka (Oh God you are exalted)
(Repeat)

Mtakatifu! Mtakatifu! (Holy! Holy!)
Bwana wa majeshi (Lord of Hosts)
Dunia yote imejawa (The whole earth is filled)
Na utukufu wako (With Your Glory)

(Refrain)

Bridge:
Umetukuka! Umetukuka (You are exalted!, You are exalted!)
Ewe Mungu umetukuka (Oh God you are exalted) (Repeat)

(Refrain)

Advertisement