(Sung in Swahili)
Kutwa nzima imepita (A whole day has gone by)
Nikiwa sina hata cha mfukoni (With nothing in my pocket)
Naumia hakika (I hurt)
Kwani hata marafiki hao siwaoni (For I do not see my friends)
Kwenye wingu la giza (In this cloud of darkness)
Sijaoata hata faraja tumboni (I do not had anything to it)
Koroboi ndio stima (A tin lamp is my source of light)
Ninamwuliza yule unayotoka moyoni (I look to the one who owns my heart)
Maisha haya kizunguzungu (This life is disorienting)
Ni wapi tena, sina pa kutorokea (I do not have a place to hide)
Kwenye giza sioni nuru,(In the darkness I do not see the light)
Ni nini chanzo, nabaki nikijiendela (The source of my struggles)
Bridge:
Kama namwona mamangu (I see my mother)
Uchochole ndo wimbo na ndo kikwazo (Poverty is a song and an obstacle)
Ni pekee yangu (I am all alone)
Kwa hakika naangaziwa sasa (Truly I am exposed)
Machozi ndo yangu (The tears are mine)
Hata kunivika cha chini ndo langu pato (My income is in menial labor)
Eh Mola wangu (Oh, my God)
Refrain:
Eh, Mwenyezi mimi, mwenyezi (Oh Almighty, Almighty)
Nasubiri bado, mwenyezi (I am still waiting, Almighty) x3
Nangoja bado, mwenyezi (I am still waiting, Almighty)
Nasubiri bado, mwenyezi (I am still waiting, Almighty) x3
Nangoja kwako, mwenyezi (I await You Almighty)
Mbona mawazo yangu (Why is it than my thoughts)
Ndo hivyo katu sichoki kufikiria? (Do not settle?)
Masikini moyo wangu (My poor heart)
Tena mzigo wangu mzito (Carrying a heavy burden)
Sina hata wakunisaidia (Without anyone to help me)
Naja kwako Mola wangu (I come before You my God)
Maumivu yangu yalokolea (My pains that are unending)
Toka zama sichoki kusota (From years before I have been poor)
Dili zangu zakungojea (Waiting for ‘deals’ to come to fruition)
Mara napata, saa ingine nakosa (Sometimes I’m successful, sometimes I fail)
Nyumbani nategemea (I am looked upon at home)
Wamechoka wa kunikopesha (My creditors have tired of me)
Wazidi niombee wasikate tamaa (May they continue praying for me, not to give up)
Kama kufunga so mwanzo ni mtindo (Fasting is not a one-day thing, its my habit)
Mpaka nashindwa nini ndo chanzo (Until I cannot see the source of my troubles)
Ndo maana nimeandika huu wimbo (That is why I write this song)
Matatizo yasokosa likizo (Troubles that do not end)
Kilio ndio wangu mtindo (My tears a constant present)
Ni maji yamefika kwa shingo (I’m drowning)
(Bridge + Refrain)
Kupambana kidumu, sichoki (But I will not tire of struggling)
Sala zangu nitume, sichoki (I will not be tired of praying)
Siwasikizi wengine, sichoki (I will not be tired of listening to others)
Ipo siku n’tapata (For my day will come)
Leave a Reply