(Sung in Swahili)

Refrain:
Umeinuliwa juu, Umeinuliwa juu (You are lifted Up, You are lifted up)
Umeinuliwa, umeinuliwa (You are lifted, You are lifted)
Umeinuliwa juu (You are lifted up)
Umeinuliwa, umeinuliwa (You are lifted, You are lifted)
Umeinuliwa juu, Umeinuliwa juu (You are lifted Up, You are lifted up)
Umeinuliwa, umeinuliwa (You are lifted, You are lifted)
Umeinuliwa juu (You are lifted up)

Kama yule nyoka wa shaba alivyoinuliwa (Like the iron snake was lifted)
Msalabani ukainuliwa, Juu ya ngome na mamlaka (You were lifted on the cross, over all strongholds and authorities)
Wote wanakutazama, Wanapata tumaini (All who look at You, receive hope)
Tunakuinua Bwana, Umeinuliwa juu (We lift You Lord, You are lifted high)

(Refrain)

Kumbukeni mwizi, msalabani aliomba (Remember the thief who prayed at the cross)
Ee Yesu nikumbuke, utakapofika paradiso (“Oh Jesus remember me  in Paradise”)
Akatubebea huzuni, Mateso hata magonjwa yetu (He carried our sorrow, our persecution and our sicknesses)
Juu ya mafalme na mamlaka, Umeinuliwa juu (Over all kingdoms and powers, You are lifted high)

(Refrain)

Tumeketi nawe, katika mkono wa kulia (We sit on Your right Hand)
Pamoja naye Baba yangu, na roho mtakatifu (Together with my Father and the Holy Spirit)
Naungana na Makerubi, na mesarafi nikisema (Joining with the Cherubim and the Seraphim sating)
Uhimidiwe, uinuliwe, uliyenilipia gharama yote (Be blessed, be lifted up, You who paid all my debts)

(Refrain)

Zaidi ya wafalme, zaidi ya miungu yote (More than kingdoms, more than other gods)
Umetukuka umesifika, ee Mungu umeinuliwa (You are exalted and praised, Oh God You are lifted high)
Nami leo nakuinua, nainua mikono yangu (I lift You up today, I lift my hands)
Ndio maana nakuimbia, ee Umeinuliwa juu (That is why I sing to You, Oh You have been lifted high)

(Refrain)

Advertisement