(Sung in Swahili)

Refrain:
Hesabu baraka zako moja kwa moja (Count your blessings one by one)
Zipe majina, zipe majina (And name them, name them)
Hesabu baraka zako moja kwa moja (Count your blessings one by one)
Na utashangaa, yale Mungu ametenda
(And you will be amazed by what God has done)
Na utashangaa, na utashangaa (And you will be amazed, you will amazed)
Na utashangaa, we utashangaa (And you will be amazed, you will amazed)
Na utashangaa, na utashangaa (And you will be amazed, you will amazed)
Wewe utashangaa, yale Mungu ametenda
(And you will be amazed by what God has done)

Kumbuka ulipokuwa umelazwa, wakakata tamaa
(Remember how you were admitted in hospital, and everybody gave up)
Wakatuma ujumbe kwa wote, marafiki jamaa
(They sent messages to all friends and family)
Wakasema huyo ametuacha, yamebaki masaa
(Saying, he has left us, it is only a matter of time)
Ona sasa ulivyo na afya nzuri, Bwana ametenda
(Now see how you have good health, for the Lord has done it for you)

Umeiona siku ya leo, Bwana ametenda
(You have seen this day, The Lord has done it)
Familia uliyo nayo, Bwana amekupa
(The family that you have, the Lord has given to you)
Hata nguo ulizo nazo, Bwana amekupa
(Even the clothes you have, The Lord has provided for you)
Oh, we utashangaa, yale Mungu ametenda
(Oh you will be amazed, by what God has done)

(Refrain)

Yesu ana mikate mitano, na samaki wawili
(Jesus had five loaves and two fishes)
Na kuna watu elfu tano, wake pia watoto
(And there were five thousand people, women and children)
Neno lasema alishukuru, na vikaongezeka
(The word says that He gave thanks, and they multiplied)
Watu wakala na vikabaki, vinashangaa
(People ate and there remained, amazing)

Jifunze kumshukuru Bwana, kwa hicho ulicho nacho
(Teach yourself to thank the Lord for what you have)
Hata kama ni kidogo sana, we shukuru unacho
(Even if it is a little, give thanks for what you have)
Kuna yule anayetamani, kuwa hapo ulipo
(For there are those who desire, to be where you are)
Wewe utashangaa, yale Mungu ametenda
(You will be amazed, by what God has done)

(Refrain)

Advertisement