(Sung in Swahili)

Nataka nikujaribu (I want to lean on You)
Zaidi ya nguvu zangu (More than what my strength can bear)
Ninapofika mwisho (So that when I get to the edge of my endurance)
Uniongezee nguvu Baba (That you would add strength to me)

Nia ni kuone (My aim is to see You)
Nia ni kupendeze (My aim is to please You)
Mapenzi yako (That Your Will)
Baba yatimizwe (Father, to be done) (Repeat)

Refrain:
Milele, milele (Forever, forever)
Unadumu hata milele (You live forevermore)
Ije mvua, ije jua (Come rain, come sunshine)
Unadumu hata milele (You live forevermore) (Repeat)

Milele, milele (Forever, forever)
Unadumu hata milele (You live forevermore)
Bwana waipenda haki, wachukia mabaya (Father You love justice, you abhor sin)
Unadumu hata milele (You live forevermore)
Wewe ni kweli, na kweli ni wewe (You are the Truth, and the Truth is You)
Unadumu hata milele (You live forevermore)
Kabla ya misingi ya dunia, ulikuwa (You were there before the foundations of the earth was laid)
Unadumu hata milele (You live forevermore)

(Refrain)

Repeat: Refrain
Haubadiliki, ije jua, unabaki kuwa mungu (You do not change, You remain God)
Wewe ndiwe ngao yetu, kimbilio la karibu ni wewe (You are our Shield, our close fortress)
Unaganga mioyo yetu, hubadiliki (You heal our hearts, You who does not change)
Hubadiliki (You do not change)

Tazama Bwana, ametangaza habari ya mwisho wa dunia (Look at the Lord, He has announced the news of the end of the world)
Mwambieni Zayuni, tazama ukubwa wako unakujilia (Tell Zion, look, your glory is coming to you)
Wokovu wako, unakujilia (Your salvation, is coming)

Bridge:
Milele, milele, milele (Forever, forever, forever)
Wadumu Bwana, hata milele (Lord You remain, forevermore) (Repeat)

Advertisement