(Sung in Swahili)

Aliyeniokoa, aliyeniokoa (The One who saved me, the One who saved me)
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu (The Lord Jesus saved me) (Repeat)

Refrain:
Ninamjua, aliye mwamba (I know who is the Rock)
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu (The Lord Jesus who saved me) (Repeat)

Amenikomboa, ameniweka huru (He ransomed me, and set me free)
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu(The Lord Jesus saved me)
Ameniponya, ameniweka huru (He healed me, and set me free)
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu (The Lord Jesus who saved me)

Nina furaha, nina amani (I have joy, I have peace)
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu (The Lord Jesus saved me)
Nina furaha, nina amani (I have joy, I have peace)
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu (The Lord Jesus saved me)

(Refrain)

Aliyeniokoa, aliyeniokoa (The One who saved me, the One who saved me)
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu (The Lord Jesus saved me) (Repeat)

Aliyenikomboa, aliyenikomboa (The one who ransomed me)
Aliyenikomboa, ni Bwana Yesu (The Lord Jesus ransomed me) (Repeat)

Aliyeniokoa, aliyeniokoa (The One who saved me, the One who saved me)
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu (The Lord Jesus saved me) (Repeat)

Bridge:
Nimewekwa huru, Nimewekwa huru (I have been set free, I have been set free)
Nimewekwa huru, na Yesu! (Jesus set me free!) (Repeat)
Nimekombolewa, nimekombolewa (I have been ransomed, I have been ransomed)
Nimekombolewa, na Yesu! (Jesus ransomed me!) (Repeat)

(Bridge)