Rafiki Mwema (Good Friend) Lyrics by Essence of Worship

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Yesu, Rafiki mwema (Jesus is a good Friend) x4

Hapana rafiki aliye mwema kama Yesu(There is no friend like Jesus) x4

Yesu ni Rafiki wa kweli (Jesus is the true friend)
Tena ni mwaminifu, Bwana (He is also faithful)
Ni wa haki, siku zote (He is always righteous) (Repeat)

Yeye anatupenda, anatujali (He loves and cares for us)
Anatuponya, ni mwaminifu (He heals us, He is faithful)
Mtoshelezi, huyu Yesu (He is sufficient, this Jesus) (Repeat)

Nimetambua kuwa, sina rafiki mwingine kama yesu (I have found that I have no other friend than Jesus)
Na hata angekuwapo, hangefikilia uaminifu wako (And if there was, they would not reach Your faithfulness)
Umenichagua, mimi nisiyestahili (You have chosen me, although I am not worthy)
Umeniheshimisha, umeniketisha na wakuu waone (You have honored me, sat me before the elders)

Kwako napata vyote, amani tele, furaha ya milele (In You I am sufficient with peace and everlasting joy)
Hakuna Rafiki kama Yesu (There is no friend like Jesus) (Repeat)

Refrain:
Eh Yesu, nina ku-kupenda (Oh Jesus, I love You)
Eh Yesu umtoshelevu (Oh Jesus, You are sufficient) (Repeat)

Sijaona rafiki kama Yesu, maishani mwangu mimi (I have never seen a friend like Jesus in my life)
Yeye ni mpezi wa kweli, yeye ni rafiki wa kweli (He is a true lover, a true friend)
Ananipenda bila gharama, ananijali bila gharama (He loves and cares for me without cost)
Ananikumbatia, ananifariji, naimba (He embraces me, comforts me, and now I sing)

Yeye ni rafiki wa kweli (He is a true friend)
Yeye ni Bbaba wa wababa (He is the father of fathers)
Yeye ni Mume wa wajane (He is the husband to the widows)
Yeye Bwana anaweza (He is the Lord, He is able)
Anaokoa, anafariji, anaponya (He saves, he comforts, he saves)

(Refrain)

Nakushukuru Mungu sababu ya upendo wako (I thank you God for Your Love)
Ulinipenda sana niko bado adui yako (You loved me even when I was Your enemy)
Tena nilikuwa bado la sishiki neno lako (I was not even versed in Your word)
Ila ukanipenda ukautoa uhai wako (But You loved me so much that you sacrificed Your life)
Adhabu ya mauti yangu ilikuwa juu yako (The cost of my death was placed on You)
Nikakupa mateso mengi na masumbuko (I caused you suffering and problems)
Mtu wa huzuni nyingi ulijuwae sikitiko (Man of sorrows that knows no regrets
Yote kisha maana mi n’fanyike mwana wako (All of this that I may be made Your child)

Yes, umenipa neema, umenipa uzima (Yes, You have granted me grace and everlasting life)
Umenitenda wema sina hata la kusema (You have done well for me, I cannot even say it)
Na wapi wadhibu? Watabibu wa karibu? (And what about the sacrifice? The close physician?)
Hujawahi niacha kwenye shida wala taabu (You have never left me in trouble)
Tumekopa (..?..)
Maana mi nimegunduwa we nd’o rafiki wa karibu (For I have discovered that You are the close friend)

(Refrain)

Umetenda (You Have Done) Lyrics by Essence of Worship

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Umefanya mengi Bwana (You have done great, Lord)
Moyo wangu wakusifu (My heart praises You)
Umetenda mengi Bwana (You have done a lot, Lord)
Moyo wangu wakusifu (My heart praises You) (Repeat)

Refrain:
Kwa yale umefanya (For all that You’ve done)
Moyo wangu wakusifu (My heart praises You)
Kwa yale umetenda (For all that You have done)
Moyo wangu wakusifu (My heart praises You)
Umetenda mengi Bwana (You have done a lot, Lord)
Moyo wangu wakusifu (My heart praises You)
Umetenda mengi Bwana (You have done a lot, Lord)
Moyo wangu wakusifu (My heart praises You)

Nimekutumaini Bwana (My hope is in You Lord)
Nimeona mkono wako (For I have seen Your hand)
Nimekutegemea wewe (I depend upon You)
Nimeona wema wako (For I have witnessed Your goodness)

Umeitimiza ahadi Yako (You have fulfilled Your promises)
Umeitunza Neno Lako (You have preserved Your Word)
Nakushukuru Bwana (I thank You Lord)
Nakushukuru wewe (I give thanks to You)
Moyo wangu wakusifu (My heart praises You)

(Refrain)

Aliyeniokoa (The One Who Saved Me) Lyrics by Essence Of Worship

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Aliyeniokoa, aliyeniokoa (The One who saved me, the One who saved me)
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu (The Lord Jesus saved me) (Repeat)

Refrain:
Ninamjua, aliye mwamba (I know who is the Rock)
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu (The Lord Jesus who saved me) (Repeat)

Amenikomboa, ameniweka huru (He ransomed me, and set me free)
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu(The Lord Jesus saved me)
Ameniponya, ameniweka huru (He healed me, and set me free)
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu (The Lord Jesus who saved me)

Nina furaha, nina amani (I have joy, I have peace)
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu (The Lord Jesus saved me)
Nina furaha, nina amani (I have joy, I have peace)
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu (The Lord Jesus saved me)

(Refrain)

Aliyeniokoa, aliyeniokoa (The One who saved me, the One who saved me)
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu (The Lord Jesus saved me) (Repeat)

Aliyenikomboa, aliyenikomboa (The one who ransomed me)
Aliyenikomboa, ni Bwana Yesu (The Lord Jesus ransomed me) (Repeat)

Aliyeniokoa, aliyeniokoa (The One who saved me, the One who saved me)
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu (The Lord Jesus saved me) (Repeat)

Bridge:
Nimewekwa huru, Nimewekwa huru (I have been set free, I have been set free)
Nimewekwa huru, na Yesu! (Jesus set me free!) (Repeat)
Nimekombolewa, nimekombolewa (I have been ransomed, I have been ransomed)
Nimekombolewa, na Yesu! (Jesus ransomed me!) (Repeat)

(Bridge)

%d bloggers like this: