(Sung in Swahili)

Sauti nyingi zinanizingira (Many voices surround me)
Mawaidha mingi, njia nyingi (Many advices, many paths)
Lakini najua sauti moja tu la kufuata (But I only know the only voice to follow)
Sina mchungaji mwingine ila Yesu (I do not have any other shepherd but Jesus)

Hata wengine wakiteleza njiani (Though others slip on the road)
Nitazidi kuwa mwaminifu kwake (I will continue to be faithful to him)
Nitaamini Neno lake (I will believe his Word)
Hajawahi kunipotosha (He has never corrupted me)

Hatua kwa hatua, nitaendelea (Step by step, I will keep moving)
Mungu mbele yangu, nitamfuata (God before me, I will follow Him)
Hakuna njia ingine najua (I know of no other paths)
Hatua kwa hatua, nitaendelea (Step by step, I will keep moving)

Njia zake zaaminika (His paths are trustworthy)
Neno lake ni la kweli; kwa hilo nitasimama (His Word is the truth; I will stand on that)
Sitainamia dunia (I shall not bow to the world)
Sina mwongozo mwingine, ila Yesu (I do not have any other guide, but Jesus)

Sijawahi ona mwenye haki ameachwa (I have never seen the righteous forsaken)
Waliokuchagua hawajawahi kujuta (The ones who choose you will never regret it)
Kwa hivyo nitazidi nawe, hata nisipoelewa (So I will continue with you, even when I do not understand)

(Refrain)

Nitakufuata Yesu, kiongozi mwema (I will follow you Jesus, the Good shepherd)

Repeat: Sina Mwingine (I do not have any other)
Mkombozi (Deliverer)
Mfalme (King)
Mwenye Enzi (The one with Authority)
Msaidizi (Helper)
Mponyaji (Healer)
Mtetezi (Defender)
Mwokozi (Savior)
Mfariji (Comforter) dg

(Refrain)

Nitakufuata Yesu, kiongozi mwema (I will follow you Jesus, the Good shepherd)

Repeat: Sina Mwingine (I do not have any other)
Mkombozi (Deliverer)
Mfalme (King)
Mwenye Enzi (The one with Authority)
Msaidizi (Helper)
Mponyaji (Healer)
Mtetezi (Defender)
Mwokozi (Savior)
Mfariji (Comforter) 

(Refrain)

Advertisement