(Sung in Swahili – Psalms 15)

Bwana ni nani atakayekaa katika hema yako
(Lord, who may dwell in your sacred tent?)

Nani atakayefanya maskani yake katika kilima chako
(Who may live on your holy mountain?)
Yeye aendaye kwa ukamilifu, pia na kutenda haki
(The one whose walk is blameless, who does what is righteous)

Maskani zako zapendeza kama nini, eh Bwana wa majeshi (Amin)
(Your dwellings are amazing, Oh Lord of Hosts)
Maskani zako zapendeza kama nini, eh Bwana wa majeshi
(Your dwellings are indescribable, Oh Lord of Hosts)

Heri wakaao nyumbani mwako, daima wanakuhimidi
(Blessed are those who dwell in you, forever they will worship you)
Heri wakaao nyumbani mwako, daima wanakuhimidi (Amin)
(Blessed are those who dwell in you, forever they will praise you)

Bwana ni nani atakayekaa katika hema yako
(Lord, who may dwell in your sacred tent?)
Nani atakayefanya maskani yake katika kilima chako
(Who may live on your holy mountain?)
Yeye aendaye kwa ukamilifu, pia na kutenda haki
(The one whose walk is blameless, who does what is righteous)

Hakika siku moja, siku moja, katika nyumba zako
(For truly one day, one day in your house)

Ni bora siku moja elfu, bora kuliko elfu
(Are better than a thousand days, better than a thousand)