Bwana Ni Nani (Lord, Who Will?) Lyrics Sung by Muungano National Choir, Kenya (Missa Luba)

Leave a comment

(Sung in Swahili – Psalms 15)

Bwana ni nani atakayekaa katika hema yako
(Lord, who may dwell in your sacred tent?)
Bwana ni nani atakayekaa katika hema yako
(Lord, who may dwell in your sacred tent?)

Nani atakayefanya maskani yake katika kilima chako
(Who may live on your holy mountain?)
Yeye aendaye kwa ukamilifu, pia na kutenda haki
(The one whose walk is blameless, who does what is righteous)
Yeye aendaye kwa ukamilifu, pia na kutenda haki
(The one whose walk is blameless, who does what is righteous)

Maskani zako zapendeza kama nini, eh Bwana wa majeshi (Amin)
(Your dwellings are amazing, Oh Lord of Hosts)
Maskani zako zapendeza kama nini, eh Bwana wa majeshi
(Your dwellings are indescribable, Oh Lord of Hosts)

Heri wakaao nyumbani mwako, daima wanakuhimidi
(Blessed are those who dwell in you, forever they will worship you)
Heri wakaao nyumbani mwako, daima wanakuhimidi (Amin)
(Blessed are those who dwell in you, forever they will praise you)

Bwana ni nani atakayekaa katika hema yako
(Lord, who may dwell in your sacred tent?)
Nani atakayefanya maskani yake katika kilima chako
(Who may live on your holy mountain?)
Yeye aendaye kwa ukamilifu, pia na kutenda haki
(The one whose walk is blameless, who does what is righteous)

Hakika siku moja, siku moja, katika nyumba zako
(For truly one day, one day in your house)
Hakika siku moja, siku moja, katika nyumba zako
(For truly one day, one day in your house)

Ni bora siku moja elfu, bora kuliko elfu
(Are better than a thousand days, better than a thousand)
Ni bora siku moja elfu, bora kuliko elfu
(Are better than a thousand days, better than a thousand)

Bwana ni nani atakayekaa katika hema yako
(Lord, who may dwell in your sacred tent?)
Nani atakayefanya maskani yake katika kilima chako
(Who may live on your holy mountain?)
Yeye aendaye kwa ukamilifu, pia na kutenda haki
(The one whose walk is blameless, who does what is righteous)
Yeye aendaye kwa ukamilifu, pia na kutenda haki
(The one whose walk is blameless, who does what is righteous)

Kaunga Yachee (Sin Came) Lyrics Arranged by Boniface Mghanga and Sung by Muungano Choir

Leave a comment

(Sung in Taita – A Hymn)

Mkiri odu Jesu dakuvoya (Our Savior Jesus, we pray unto You)
Iside wanyonge (For we are weak)
Ngolo redudari gunya kwako (We give our hearts unto You)
Dakulomba kuditesie (We pray that You help us)
Dakulomba kudihoreshe (We pray that You heal us)

Kaung’a yachee, Kaung’a yachee (Sin came, sin came)
Kaung’a yachee wurumwengunyi (Sin came to the world)
Yadiredia makongo (And brought sickness) (Repeat)

Refrain:
Kaung’a ya dinjira sere (Sin removed our safety)
Kaung’a ya dinjira ndigi (Sin weakened our Strength)
Yadiredia kifwa na wasi (And brought trouble and death unto us)
Kaung’a ya di Tanya na Mlungu (Sin separates us from God) (Repeat)

Na mfwano dichamneka (We shall give you an example)
Choka kuka ka kusei barie chongo (If you do not strike the serpent’s head)
Yadaredelwa malemba ni mbao, (Will be assisted by its helper/friend)
Naiya pata mruke na kwenda (He is restored and leaves) (Repeat)

(Refrain)

Mkiri odu Jesu dakuvoya (Our Savior Jesus, we pray unto You)
Iside wanyonge (For we are weak)
Ngolo redudari gunya kwako (We give our hearts unto You)
Dakulomba kuditesie (We pray that You help us)
Dakulomba kudihoreshe (We pray that You heal us)

(Refrain)

Da agenda kwa waganga (We turn to witchcraft)
Da-funya mafungu malazi (And part with a lot of money)
Da-rigi twa na kuchugwa ngoru (We are cut and given remedies)
Da-liwa Mganga ni Jesu (Forgetting that Jesus is the Healer) (Repeat)

(Refrain)

(Oye) Kaung’a ya di Tanya na Mlungu! (Oh, Sin separates us from Godx3

Mshipi (Belt) Lyrics by Kwaya Kuu Ya Mtakatifu Cecilia (St. Cecilia Choir) – Arusha

Leave a comment

(Sung in Swahili)

Refrain:
Ni nani aliye Mungu, Mungu ila Bwana
(Who is like God, if not the Lord?)
Ni nani aliye Mwamba, Mwamba ila Mungu
(Who is the rock, the Solid Rock if not God?)
Ni Mungu ndiye anifungaye mshipi wa nguvu, aha!
(It’s God who who girds me with strength)
Ni Mungu ndiye kimbilio la unyonge wangu, aha!
(It is God who is my refuge in my weakness)
Naye anaifanya kamilifu njia yangu
(He who makes my path complete)

Ni yeye Bwana aliye nguvu zangu nampenda sana
(He is the Lord with the strength, I love Him)
Ni yeye Jabali langu na boma langu na Mwokozi wangu
(He is my rock, my shelter and my Saviour)
Mungu wangu, mwamba wangu ninayemkimbilia
(My God, My rock whom I run to)
Ngao yangu, na pembe ya wokovu wangu, na ngome yangu
(My shield, the cornerstone of my salvation and my refuge)

(Refrain)

Katika shida zangu nilimwita Bwana “ee Bwana”
(In the midst of my trials I call the Lord “Oh Lord”)
Na kumlalamikia Mungu “ee Mungu”
(I bring my complaints to God “Oh God”)
Akaisikia sauti yangu hekaluni mwake
(He heard my voice in His Temple)
Kilio changu kikaingia masikioni mwake
(My cries reached His ears)

(Refrain)

Bwana alinitendea, sawasawa na haki yangu
(Lord dealt with me according to my rights)
Akanilipa sawasawa na haki yangu
(And He repaid me according to my rights)

(Refrain)

Nitamwita Bwana astahiliye kusifiwa
(I shall call upon the Lord who deserves the praise)
Hivyo nitaokoka na adui zangu
(And thus I shall be saved from my enemies)

(Refrain)

Uninyunyizie Maji (Anoint Me With Holy Water) Lyrics by Our Lady Of Fatima Kongowea Catholic Choir

Leave a comment

(Sung in Swahili)

Uninyunyizie maji, Bwana (Lord, Anoint me with water) x2

Refrain:
Unioshe nitakate (Cleanse me and purify me)
Kweli, niwe mweupe kabisa (That I be as be as white as snow) (Repeat)

Mimi ni mwenye dhambi, Bwana (Lord, I am full of sin) x2

(Refrain)

Natamani nije kwako, Bwana (Lord, I desire to come to You) x2

(Refrain)

Naingia nyumba yako, Bwana (Lord, I am entering Your House) x2

(Refrain)

Niuone uso wako, Bwana (Lord, that I may see Your Face) x2

(Refrain)

Nifurahi milele, Bwana (Lord, that I may rejoice forever) x2

(Refrain)

Yesu Wainyanza (Jesus Loves Me) Lyrics by Muungano Choir – Missa Luba

Leave a comment

(Sung in Luhya – A Missa Luba)

Yesu wainyanza (Jesus loves me)
Aa yarunga likobhi (He paid my debt)
Yarunga likobhi khumsalaba (He paid my debt on the Cross)
Umnyali kwa Yesu na mwihalira (In the name of Jesus, I am victorious)
Kwalenje mirimo cha yaraka (I will do what He asks me to do) (Repeat)

Refrain:
Yesu wainyanza, mwami wainyanza (Jesus loves me, the King loves me) x2
Chachira embole (The reason that I say)
Yesu wainyanza (That Jesus loves me)
Yarunga likobhi khumsalaba (He paid my debt on the Cross)
(Repeat)

(From the Top)

%d bloggers like this: