(Sung in Swahili)

Refrain:
Mountain, You are my mountain
Jesus You are my mountain, You are my strength
Mlima wangu, wewe ni mlima wangu
Yesu ni mlima wangu, nguvu zangu (Repeat)

Ee Mungu katika mlima wako, wewe unapatikana (Oh My God, You are found on your mountain)
Tena unajibu kwa moto (And You respond with fire)
Mungu wangu (My God)
Nikikuita unaitika (When I call, You answer me)
Nikiomba, unasikia, huzimii wala huchoki (When I pray, You listen, You do not tire nor faint)
Mwamba wangu (My Rock)
Wewe ni Mfalme, Ebeneza, mfalme, wastahili mfalme (You are the King, Ebenezer You deserve the kindom)
Mwamba Wangu (My Rock)

(Refrain)

Amen! Amen! Amen!

Repeat: Amen!
Hakika wewe ni mlima wangu (Truly, You are my mountain)
Mlima takatifu (A Holy mountain)
Umedhihirika katika dhabihu (You’ve manifested Yourself in the sacrifice)
Na umedhibitika kwa moto (And You have been proven by fire)
.?. chako ni Moto, Baba (… Yours is fire, Father)
Nakuabudu Yesu (I worship You, Jesus)
Na mimi na roho yangu (Me and my spirit)
Acha nikuabudu Jehova (Let me worship You, Jehovah)
Acha nikuabudu, Mfalme (Let me worship You, my King)
Acha niseme, unastahili! (Let me say, You deserve!)
Unastahili, haleluya! (You deserve, Hallelujah)
Lord, I lift Your Name
I praise Your Name, I worship Your Name
You are Holy, Hallelujah
Glory to You

Advertisement