(Sung in Swahili)

Hatimaye ni leo, ni siku yetu
(Finally it is today, it is our day)
Siku yetu muhimu, harusi yetu
(Our special day, our wedding)
Uwepo wenu nyote eh eh, kwetu ni kitu
(Your presence, to us is important)
Kwetu ninyi ni ndugu, leo na kesho
(All of you are brethren to us, today and tomorrow)

Harusi maua, ng’aring’ari wanapendeza
(The wedding is like flowers, pleasing and glittering)
Leo ni furaha, shangwe na furaha
(Today is a joyful day, happiness and joy)
Harusi maua, tabasamu, suti na shera
(Wedding is like a flower, smiles, suits and veils)
Wacha tufurahi, sote tufurahi
(Let us be joyful, all of us be happy)

Refrain:
Sweetie sweetie sweetie
Haikuwa rahisi (It was not easy), eh sweetie
Tufike, my baby, leo hii (For us to get to this day)
Na hapa tulipo (And where we are)
Ndio siku yetu, ipo (It is our day)
Muhimu ya harusi  (Our special wedding) (Repeat)

Bridge:
Sasa nyumba moja, mwili mmoja
(Now we are one house, one body)
Kila kitu ni moja, tuwe pamoja
(Everything is one, we should be together)
Upendo naongeza, nawe ongeza
(I add love, and you add as well)
Heshima na pandisha, tuwe pamoja
(I raise respect, that we be together)

Sweetie sweetie sweetie
Haikuwa rahisi, eh sweetie (It was not easy)
Tufike, my baby, leo hii (For us to get to this day)

Sasa wewe ni mimi, mimi ni wewe
(Now you are me, and I am you)
We ndo mwendani wangu, rafiki yangu
(Your companion, my friend) (Refrain)

Na wazazi wameona wakaturuhusu
(And our parents have seen and given us their permission)
Kwa furaha wakasema eh “Tumewabariki”
(With joy they said “We have blessed you”)
Na Mwenyezi Maulana, atatubariki
(And the Almighty God, will bless)
Tukazae na tulee eh, watoto wazuri
(We produce and care for good children)

(Refrain)

(Bridge)

Sweetie sweetie sweetie
Haikuwa rahisi, eh sweetie (It was not easy)
Tufike, my baby, leo hii (For us to get to this day)

Yandoa mengi mengi, tupande nayo
(We should plant many that belongs to marriage)
Sweetie nikuheshimu, uniheshimu
(Sweetie that  I respect you, you respect me)
Mahaba motomoto, yawe ni wimbo
(Everlasting love to be our song)
Kwetu yawe waridi, yakanukie
(For us to be like a pleasing perfume)

Walikuepo, walitamani, nao watafunga harusi
(THere were those who desired marriage and wedded)
Wakaparangana haikuwezekana
(They quarrelled and didn;t work out)
Kama si nyinyi, tusingefika hapa na kufurahi hivi
(If it wasn’t for you, we would not achieve this joy)
Na leo ni leo, mambo sasa ni mambo
(And today is the day, things have now happened)

(Refrain)

(Bridge)

Na tutakumbushana, kukaa na Mungu
(And we will remind each other to abide in God)
Familia ya Mungu, hujaa upendo
(To be a godly family, full of love)
Wema kwa ndugu wote, wa pande zote
(Goodwill to all brethren of all sides)
Tutapendwa na wote, hata na Mungu
(We will be loved by all, even by God)

Advertisement