(Sung in Swahili)

Vizazi hadi vizazi (Generations upon generations)
Vyakufahamu wewe (Recognize You)
Uliye Mungu wa kale (The Ancient of Days)
Na uliye Mungu wa leo (And the Present God)
Kazi zako zaonyesha (Your work showcase)
Ukuu wako wewe (Your might)
Umetukuka, umeinulia, ewe Bwana (You are glorified, You are lifted, O God) (Repeat)

Refrain:
Kweli wewe, wewe ni Mungu (Truly You, You are God)
Kweli wewe, wastahili (Truly You deserve all)
Umeketii juu sana (You are sitted up high)
Kwenye kiti cha enzi (You are sitted on the throne)
Umejivika utukufu (You have clothed Yourself in Glory)
Wewe ni Mungu (You are God)

Nikitazama matendo yako (When I behold Your works)
Na nguvu zako wewe (And Your power)
Yadhihirika machoni mwangu (It is certain in my eyes)
Wengine wote ni miungu (That all others are gods)
Uumbaji wako waonyesha (Your creations showcase)
Hekima yako wewe (Your own wisdom)
Watukuzwa kati ya mataifa (You are glorified among the nations)
Milele Bwana (Forever Lord) (Repeat)

(Refrain)

Sifa zako zi kinywani mwangu (Your praises are on my tongue)
Kwa jinsi ulivyo wewe (For how You are)
Kwa kusanyiko la watu Wako (In the midst of people)
Nikuinue Mungu wangu (To lift You, my God)
Nionyeshe heshima zako (To show Your honor)
Malangoni mwako Wewe (In  your gates)
Nakutukuza nakuinua Ewe Bwana (I also praise and lift You up, Oh God) (Repeat)

(Refrain)

Advertisement