Neema ya Goligota (Golgotha’s Grace) Hymn Lyrics by Florence Mureithi

Leave a comment


(Sung in Swahili – A Hymn)

Nilipofika Goligotha (When I arrived at Golgotha)
Nikaiona huko (I saw while there)
Neema kubwa kama mto (Great Grace flowing like the river)
Neema ya kutosha (Sufficient Grace)

Refrain:
Neema ya Golgotha, (The Grace of Golgotha)
Ni kama bahari kubwa (Is like a great ocean)
Neema tele na ya milele, (Overflowing and everlasting Grace)
Neema ya kutosha (Sufficient Grace) (Repeat)

Nilipofika moyo wangu (When I arrived, my heart)
Ulilemewa sana (Was completely overwhelmed)
Sikufahamu bado vema (I did not fully understand)
Neema Yake kubwa (His Great Grace)

(Refrain)

Nilipoona kwamba (When I saw that)
Yesu alichukua dhambi (Jesus took our sins)
Neema ikadhihirikaka (Then Grace manifested)
Na moyo ukapona (And my soul was healed)

(Refrain)

Repeat: Neema ya kutosha (Sufficient Grace)
Sipungikiwi na Neema yako Yesu we (Your Grace Jesus, will never be insufficient)
Katika unyonge, neema yanitosha (In my weakness, Your Grace is sufficient)
Inanipa nguvu za kusonga mbele (It grants me strength to continue)
Waniongoza, hatua kwa hatua, kwa hiyo (You lead me, step by step, therefore)

Advertisement

Mbeleni Naendelea (I’m Pressing on the Upward Way) Hymn Lyrics Sung by Florence Mureithi (Tenzi 144)

Leave a comment


(Sung in Swahili – A Hymn)

Mbeleni naendelea (I’m pressing on the upward way)
Ninazidi kutembea (New heights I’m gaining every day)
Mombi uyasikie (Still praying as I’m onward bound)
Ee Bwana unipandishe (Lord, plant my feet on higher ground)

Refrain:
Ee Bwana uniinue (Lord, lift me up and let me stand)
Kwa imani nisimame (By faith, on Heaven’s table land)
Nipande milima yote (A higher plane than I have found)
Ee Bwana unipandishe (Lord, plant my feet on higher ground)

(Refrain)

Sina tamaa ni nikae (My heart has no desire to stay)
Mahali pa shaka kamwe (Where doubts arise and fears dismay)
Hapo wengi wanakaa (Though some may dwell where those abound)
Kuendelea naomba (My prayer, my aim, is higher ground)

(Refrain)

Nataka nipandishwe juu (I want to scale the utmost height)
Zaidi ya yale mawingu (And catch a gleam of glory bright)
Ninaomba nifikishwe (But still I’ll pray till heaven I’ve found)
Ee Bwana unipandishe (Lord, lead me on to higher ground)

(Refrain)

Kweli Wewe ni Mungu (Truly You are God) Lyrics by Florence Mureithi

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Vizazi hadi vizazi (Generations upon generations)
Vyakufahamu wewe (Recognize You)
Uliye Mungu wa kale (The Ancient of Days)
Na uliye Mungu wa leo (And the Present God)
Kazi zako zaonyesha (Your work showcase)
Ukuu wako wewe (Your might)
Umetukuka, umeinulia, ewe Bwana (You are glorified, You are lifted, O God) (Repeat)

Refrain:
Kweli wewe, wewe ni Mungu (Truly You, You are God)
Kweli wewe, wastahili (Truly You deserve all)
Umeketii juu sana (You are sitted up high)
Kwenye kiti cha enzi (You are sitted on the throne)
Umejivika utukufu (You have clothed Yourself in Glory)
Wewe ni Mungu (You are God)

Nikitazama matendo yako (When I behold Your works)
Na nguvu zako wewe (And Your power)
Yadhihirika machoni mwangu (It is certain in my eyes)
Wengine wote ni miungu (That all others are gods)
Uumbaji wako waonyesha (Your creations showcase)
Hekima yako wewe (Your own wisdom)
Watukuzwa kati ya mataifa (You are glorified among the nations)
Milele Bwana (Forever Lord) (Repeat)

(Refrain)

Sifa zako zi kinywani mwangu (Your praises are on my tongue)
Kwa jinsi ulivyo wewe (For how You are)
Kwa kusanyiko la watu Wako (In the midst of people)
Nikuinue Mungu wangu (To lift You, my God)
Nionyeshe heshima zako (To show Your honor)
Malangoni mwako Wewe (In  your gates)
Nakutukuza nakuinua Ewe Bwana (I also praise and lift You up, Oh God) (Repeat)

(Refrain)

Inuka Mteule (Arise Chosen One) Lyrics by Florence Mureithi

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Refrain:
Inuka, jitie nguvu (Arise and strengthen yourself)
Simama, umshindi (Stand firm, You are winner)
Tawala, una kibali (Reign, You have the authority)
Msaidizi wako, yu ndani yako (Your Helper is in You) x2
(Repeat)

Nieleze je mteule ulivyo na nguvu (How can I tell how strong you are, chosen one?)
Umepewa uwezo, kwa Roho wa Mungu
(You have been given the ability by the Spirit of God)
Usife moyo mteule, ufalme ni wako
(Do not lose hear chosen one, the Kingdom is yours)
Umrithi pamoja na Yesu (You are heirs together with Jesus) (Repeat)

(Refrain)

Nikueleze je, hakuwachi Bwana (How do I tell you, the Lord will not abandon You)
Hadi mwisho wa dahari (Until the end of time)
Fungua macho, mteule uone mbali (Open your eyes chosen one, and see the future)
Giza latoweka, kwapampazuka (Darkness disappears, there is a new dawn) (Repeat)

(Refrain)

%d bloggers like this: