(Sung in Swahili – A Hymn)

Refrain:
Uiondolee dhambi nitakase (Remove sin from me and sanctify me)
Unioshe niwe mweupe pe (Cleanse me so that I be white as snow)

Nakiri makosa yangu, naziona dhambi zangu (I confess of my sins, I see my sins)
Unioshe niwe mweupe pe (Cleanse me that I be white as snow)

(Refrain)

Mimi kweli mkosefu, tangu kuzaliwa kwangu (I truly am a sinner, since my birth)
Mwenye dhambi tangu tumboni mwa mama yangu (With sin from my mother’s womb)

(Refrain)

Kweli unafanya vyema, wewe unaponihukumu (Truly you are righteous when you convict me)
Una haki unaponiadhibu (You are righteous when you punish me)

(Refrain)

Wewe wataka unyofu, ule unyofu wa ndani (You desire the righteous, the inner rightehousness)
Nifundishe hekima moyoni (Teach my heart your wisdom)

(Refrain)

Advertisement