(Sung in Swahili)

Furaha, tunaimba siku ya leo (It is Joy, we are singing today)
Tumepewa, ushindi (For we have been given victory)
Nguvu zetu si za damu wala nyama (Our strength is not of flesh and blood)
Tumepewa na Roho (We have been given by the Holy Spirit) (Repeat)

Kweli Bwana ni upande wetu (Truly, God is on our side)
Hatuna haja ya kuogopa kitu chote (We do not have to fear anything)
Hata shida ziinuke tele (Even if struggles rise on every side)
Hatuna haja ya kuogopa kitu chote (We do not have to fear anything)) (Repeat)

(From the Top)

Tuna yule aliye shinda giza, na uwezo wake
(We have the one who defeated the darkness with His might)
Kwa upande wetu, tuna nguvu juu ya mambo yote
(He’s on our side: we have victory over all)(Repeat)(Repeat)

Anyetutunza, anashughulika nasi (He cares for us, and struggles for us)
Anatupa nguvu, pia anakesha kwetu ()
(Repeat)

Anayechanganya adui zetu (The one who confuses our enemies)
Ni Yesu (It is Jesus)

Repeat: Ni Yesu (Is Jesus)
Anayetupenda (The one who loves us)
Anatetujali (The one who cares for us)
Anayetutunza (The one who cares for us)
Anatupa nguvu (He gives us strength)
Ni nani yule? (Who is He?)
Mfariji wetu (Our comfort)
Kimbilio letu (Our refuge)
Tegemeo letu (The one we depend on)

Advertisement