(Sung in Swahili)

Mungu asiyeona kushindwa (Unconquerable God)
Kwenye tatizo/shida lako (Even in your troubles)
Ili utukufu wake, abaki kuwa Mungu (So that His Glory, he remains being God) (Repeat)

Na kusema siwezi, siwezi tena kusonga (When you say, “I cannot even move”)
Ndi’ kuwa Mungu anashuka kukushika mkono wako (That is when God descends to hold your hand)
Na kusema siwezi, siwezi tena kupona (When You say, “I cannot get well”)
Ndi’ kwa Mungu anashuka, kukuponya magonjwa yako (God descends, to heal your sickness)
Na kusema siwezi, siwezi tena kushinda vita (When you say, “I cannot win the battles”)
Ndi’ kuwa Mungu anashuka, na majeshi ya mbinguni (That is when God descends with the army of the heavens)
Na kusema siwezi, siwezi tena kupata mwenza (When you say “I cannot find my companion”)
Ndi’  kuwa Mungu anashuka, kukuletea mwenza wako (That is when God descends, bringing your companion)
Na kusema siwezi, siwezi tena kuinuliwa (When you say, “I cannot be lifted”)
Ndi’ kwa Mungu anashuka, kutimiza ahadi zae (That is when God descends to fulfill His promises)

Refrain:
Repeat: Shuka tukuone Mungu wetu (Come down God, that we may see You)
Oh Baba shuka (Oh Father come down)
Oh Jehova rafa shuka (Lord our Healer, descend)
Akili zetu zimefika mwisho Baba, shuka (Our minds cannot fathom any more, Father descend)
Pekee yetu hatuwezi Jehova (We cannot do it by ourselves, Jehovah)
Twahitaji msaada wako, Mungu wetu (We need your help, our God)
‘Situwache, pekee yetu hatuwezi (Do not leave us by ourselves, for we are not able)
Oh Baba shuka (Oh Father come down)
Oh Jehova Rafa shuka (Lord our Healer, descend)

Wana wa Isiraeli, walipofika bahari ya Shamu (The Israelites, when they got to the Red Sea)
Akili zao zote, zilifika mwisho (All their minds could not fathom crossing) (Repeat)

Tukimkumbuka Sara, hata alipofika uzeeni (When we remember Sarah, when she reached old age)
Tumaini la kumpata mtoto, ilifika mwisho (The hope of getting a child, reached the end) (Repeat)

Kuhani Ezekieli, akili yake tu iliposhindwa (Ezekiel the priest, where he was unable to fathom)
Mungu akashuka, akamwita Ezekieli (God descended, and called Ezekiel) (Repeat)

“Unaona nini mbele yako, eh Ezekieli?” (“What do you see before you, Ezekiel?”) (Repeat)

Ye’ Ezekieli, akamjibu Bwana, Ye’ Ezekieli (Ezekiel replied to the Lord) (Repeat)

“Mifupa mikavu, ndiyo ‘ko mbele yangu (“Dry bones are before me)
Vinanifanya nilie (They cause me to weep)
Mifupa mikavu, ndiyo ‘ko mbele yangu (Dry bones are before me)
Vinanifanya nishindwe” (They cause me to give up”)

(Refrain)

Jambo gani limefika mwisho, tumwite Bwana/Yesu (What has caused you to give up, so that we call upon the Lord/Jesus)
‘Shughulike na tatizo lako? (To take care of your troubles?) (Repeat)

‘jira yako imefika mwisho, usilie (Your employment has come to an end, do not weep)
Mungu yupo mtetezi wako, ‘tainusuru ajira yako (God is your defender, he will rescue your employment)
Afya yako imefika mwisho, usilie (Your health has come to an end, do not weep)
Mungu yupo mponyaji mwema, ‘taiponya afya yako (God the great healer is there, he will heal your health)

(Refrain)

Advertisement