Mtukuze Mungu (Praise God) Lyrics by Sifaeli Mwabuka

Leave a comment


Natamani kusema na wewe hapo ulipo
(I desire to speak with you where you are)
Shauku yangu nizungumze na wewe kama unanisikia
(My passion is to speak with you, (If you can hear me) (Repeat)

Vile ulivyo, ni mpango wa Mungu uwepo (The way you are is by God’s plan)
Ana makusudi na wewe, ndio maana upo leo (He has intentions for you, that is why you are here today)
Unavyojitazama, hivyo ulivyo (The way you see yourself)
Ni mpango wa Mungu kwako, ndio maana uko hivyo (Is by God’s plan about you) (Repeat)

Wengine wamekufa, hatujui tutaonana lini (Others have passed on, we do not know when we’ll meet next)
Wewe uko hai, mtukuze Mungu tu (You are alive, so praise God)
Wengine wanalia, hawajui wataishi vipi kesho (Others are weeping, not knowing how they’ll survive)
Wewe una kula na kunywa, mtukuze Mungu tu (You have food and drink, so praise God) (Repeat)

Wengine wamelazwa, hawajui watapona lini (Others are admitted, not knowing when they’ll heal)
Wewe uko na afya, mtukuze Mungu tu (You are healthy, so praise God)
Wengine wamepoteza, baadhi ya viungo vyao (Others have lost some of their organs)
Wewe uko mzima, mtukuze Mungu tu (But you are complete, so praise God)

Wewe simama, simama (You stand, stand firm)
Simama mtukuze Mungu tu (Stand and praise God) (Repeat)

Repeat: Simama, simama (Stand firm)
Vile ulivyo (The way you are) x3
Kwenye taaabu zako (In your troubles)
Kwenye mateso (In your trials)
Kwenye mapito yako (In your paths)
Mtukuze Mungu tu (Just praise God)
Mtukuze Yesu (Praise Jesus)
Mtukuze Baba (Praise the Father)
Mtukuze Yesu (Praise Jesus)
Yahweh x3
Mtukuze Mungu tu (Just praise God)

Ni kweli umepitia magumu, yenye kukuvunja moyo (It’s true you’ve passed through heartbreak)
Mungu wako anajua, jinsi ulivyo (Your God knows your situation)
Ni kweli ulilia sana, hujui mwisho wake lini (It is true that you have cried for so long, you do not see the end)
Mungu wako anajua, kilio chako (Your God understands your sorrow) (Repeat)

Jaribu lako, limekuwa kama mlima (Your trials have become like mountains)
We usirudi nyuma, mtukuze Mungu tu (Do not go back, but praise God)
Watu watasema, kama vile kwa Ayubu (People will talk about you like they did Job)
(Wewe) usinyamaze kimya, mtukuze Mungu tu (You do not be silent, but praise God) (Repeat)

(Refrain)

Wewe simama, simama (You stand, stand firm)
Simama mtukuze Mungu tu (Stand and praise God) (Repeat)

(Refrain)

Imba Mbingu Zisikie (Sing for the Heavens to Hear) Lyrics by Ester Timila

Leave a comment


Refrain:
Repeat: Imba (Sing)
Yesu asikie (Jesus to hear)
Asikie sauti yako (That He hears your voice)
Yesu asikie (Jesus to hear)
Imba wewe, mgumba (Sing, you the barren on)
Imba wewe mjane (Sing, you the widow)
Imba masikini (Sing, poor onw)
Imba uliye kataliwa (Sing, rejected one)
Imba uliye lia (Sing, the weeping one)
Imba uliye mgonjwa (Sing, the one stricken with sickness)
Imba uliye tasa (Sing, the barren one)
Imba mbingu zikie (Sing, for the heavens to hear) x2
Imba, malaika washuke (Sing, the angels to descend)
Imba, Mungu wetu ashuke (Sing, for our God to descend)
Yesu asikie (For Jesus to hear) x2
Malaika waje kwako (For the angels to come to you)
Kutatua shida zako (To address your problems)
Milango ifunguke kwako (For the doors to be opened to you)
Ugonjwa uondoke kwako (For the illness to depart from you)
Imba, wewe imba (Sing, you sing)

Katikati ya mateso mengi, mama usinyamaze (In the midst of a multitude of your persecution, do not be silent)
Katikati ya mapito uliyo nayo, usinyamaze (In the midst of a multitude of your troubles, do not be silent)
Katikati ya maumivu yako, usinyamaze (In the midst of your pain, do not be quiet)
Anajua shida uliyo nayo, Baba (He knows of your problems)
Anajua taabu uliyo nayo, Mama (He knows of your misery)
Anajua mateso uliyo nayo, Baba (He knows about your troubles)
Anajua taabu unazopitia (He knows what you are going through)
Imba katikati ya maumivu yako (Sing in the midst of your pain)
Imba katikati ya maadui zako (Sing amongst your enemies)
Imba katikati ya majaribu yako (Sing in the midst of your trials)
Imba! Wewe imba (Sing, you sing!)

(Refrain)

Ukuta wa Yeriko, uliangushwa kwa nyimbo (The walls of Jericho fell through song)
Ukuta wa Yeriko, uliangushwa kwa kuimba (The walls of Jericho were destroyed by song)
Ukuta wa Yeriko, uliangushwa kwa nyimbo (The walls of Jericho fell through song)
Ukuta wa Yeriko, uliangushwa kwa kuimba (The walls of Jericho were destroyed by song)
Angusha vifungo vyako, angusha kwa kuimba (Destroy your chains, destroy them by song)
Angusha watesi wako, angusha kwa kuimba (Destroy your persecutors, destroy them by song)
Angusho maadui zako, angusha kwa sifa (Destroy your enemies, destroy them through praise)
Angusha ngome za maadui zako, angusha kwa kuimba (Destroy the enemies fortresses, destroy them by song)
Mungu wetu anaketi katikati ya sifa (For our God sits in the midst of praise)

(Refrain)

Shuka Tukuone Mungu Wetu (Come Down God That We May See You) Lyrics by Sifaeli Mwabuka

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Mungu asiyeona kushindwa (Unconquerable God)
Kwenye tatizo/shida lako (Even in your troubles)
Ili utukufu wake, abaki kuwa Mungu (So that His Glory, he remains being God) (Repeat)

Na kusema siwezi, siwezi tena kusonga (When you say, “I cannot even move”)
Ndi’ kuwa Mungu anashuka kukushika mkono wako (That is when God descends to hold your hand)
Na kusema siwezi, siwezi tena kupona (When You say, “I cannot get well”)
Ndi’ kwa Mungu anashuka, kukuponya magonjwa yako (God descends, to heal your sickness)
Na kusema siwezi, siwezi tena kushinda vita (When you say, “I cannot win the battles”)
Ndi’ kuwa Mungu anashuka, na majeshi ya mbinguni (That is when God descends with the army of the heavens)
Na kusema siwezi, siwezi tena kupata mwenza (When you say “I cannot find my companion”)
Ndi’  kuwa Mungu anashuka, kukuletea mwenza wako (That is when God descends, bringing your companion)
Na kusema siwezi, siwezi tena kuinuliwa (When you say, “I cannot be lifted”)
Ndi’ kwa Mungu anashuka, kutimiza ahadi zae (That is when God descends to fulfill His promises)

Refrain:
Repeat: Shuka tukuone Mungu wetu (Come down God, that we may see You)
Oh Baba shuka (Oh Father come down)
Oh Jehova rafa shuka (Lord our Healer, descend)
Akili zetu zimefika mwisho Baba, shuka (Our minds cannot fathom any more, Father descend)
Pekee yetu hatuwezi Jehova (We cannot do it by ourselves, Jehovah)
Twahitaji msaada wako, Mungu wetu (We need your help, our God)
‘Situwache, pekee yetu hatuwezi (Do not leave us by ourselves, for we are not able)
Oh Baba shuka (Oh Father come down)
Oh Jehova Rafa shuka (Lord our Healer, descend)

Wana wa Isiraeli, walipofika bahari ya Shamu (The Israelites, when they got to the Red Sea)
Akili zao zote, zilifika mwisho (All their minds could not fathom crossing) (Repeat)

Tukimkumbuka Sara, hata alipofika uzeeni (When we remember Sarah, when she reached old age)
Tumaini la kumpata mtoto, ilifika mwisho (The hope of getting a child, reached the end) (Repeat)

Kuhani Ezekieli, akili yake tu iliposhindwa (Ezekiel the priest, where he was unable to fathom)
Mungu akashuka, akamwita Ezekieli (God descended, and called Ezekiel) (Repeat)

“Unaona nini mbele yako, eh Ezekieli?” (“What do you see before you, Ezekiel?”) (Repeat)

Ye’ Ezekieli, akamjibu Bwana, Ye’ Ezekieli (Ezekiel replied to the Lord) (Repeat)

“Mifupa mikavu, ndiyo ‘ko mbele yangu (“Dry bones are before me)
Vinanifanya nilie (They cause me to weep)
Mifupa mikavu, ndiyo ‘ko mbele yangu (Dry bones are before me)
Vinanifanya nishindwe” (They cause me to give up”)

(Refrain)

Jambo gani limefika mwisho, tumwite Bwana/Yesu (What has caused you to give up, so that we call upon the Lord/Jesus)
‘Shughulike na tatizo lako? (To take care of your troubles?) (Repeat)

‘jira yako imefika mwisho, usilie (Your employment has come to an end, do not weep)
Mungu yupo mtetezi wako, ‘tainusuru ajira yako (God is your defender, he will rescue your employment)
Afya yako imefika mwisho, usilie (Your health has come to an end, do not weep)
Mungu yupo mponyaji mwema, ‘taiponya afya yako (God the great healer is there, he will heal your health)

(Refrain)

%d bloggers like this: