(Sung in Swahili)

Mimi nipungue, wewe uongezeke (I must decrease, You become greater)
Mimi nipungue, wewe uongezeke (I must become less, You become greater) (Repeat)

Uongezeke Yesu, uongezeke sana (Become increased Jesus, become greater)
Mimi nipungue, wewe uongezeke (I must become less, You become greater) (Repeat)

(From the top)

Uongezekange wewe Yesu (Be increased Jesus)
Uongezeke kila eneo la maisha yangu (Be increased in every face)
Uongezeke kwenye huduma (Be increased in the ministry)
Uongezeke nyumbani kwangu (Be increased in my home)
Uongezeke wewe (Be increased)
Nashuka chini (I humble myself)
Ondoa kiburi ndani yangu (Remove pride from within me)

Mimi nipungue, wewe uinuliwe (I must become less, You be lifted)
Mimi nipungue, wewe unuliwe (I must become less, You be lifted)(Repeat)

Uinuliwe Yesu, uinuliwe sana (Be lifted Jesus, be highly lifted)
Mimi nipungue, wewe unuliwe (I must become less, You be lifted)(Repeat)

Uabudiwe Yesu, uabudiwe sana (Be worshiped Jesus, be highly praised)
Mimi nipungue, wewe uabidiwe (I must become less, You be worshiped) (Repeat)

Hata nikiimba vizuri, watu wakabarikiwa (Even if I sing so well that people are blessed)
Magonjwa yakatoka, wewe ukaonekana (Diseases are healed, and You were seen)
Mimi nipungue, wewe uongezeke (I must become less, You become greater)

Nikihubiri vizuri (Even if I preached so well)
Nikawa na nyumba nzuri (And have a good house)
Nikawa na familia nzuri (And have a good family)
We Yesu, imi nipungue, wewe uongezeke (I must become less, You become greater)

Kanisa la Yesu, Bwana anataka unyenyekevu kipindi cha uamsho
(Church of Jesus, the Lord demands humility during this season of revival)
Unyenyekevu uzidi unyenyekevu (Humility over humility)

Uongezeke Yesu, uongezeke sana (Become increased Jesus, become greater)
Mimi nipungue, wewe uongezeke (I must become less, You become greater) (Repeat)

Haya ni maneno ya Yohana (These are the words of John)
Wanafunzi wake  walipomwabia kwamba (When his disciples told him)
“Yule uliyetuonyesha, anabatiza baba” (“The one who you showed us is baptizing”)
Akasema “yafaa yeye aongezeke, mimi nipungue” (He said “He must increase, but I must decrease”)
Tupungue sisi watumishi wa Mungu (Let us decrease servants of God)
Usiabudu huduma, ni neema tu (Do not worship the ministry, it is by grace)
Usiabudu kipawa, ni neema tu (Do not worship your talent, it is by grace)
Kuhubiri ni zawadi tu za mungu (Preaching is God’s gift)
Sisi tupungue kanisa, yeye aongezeke (Church let us decrease, He must increase)

Advertisement