(Sung in Swahili)

Ngome imara (Strong fortress)
Mwenye haki hukukimbilia (Where the righteous seek refuge)
Na kuipata salama (And find it safety)
Ndiwe Mungu, mwenye nguvu ya kutoa (You are God with the power to give)
Na nguvu ya kutwaa (And the power to take)
Wewe pekee ndiwe Mungu (You alone are God)
Hekima yako (Your wisdom)
Inazidi hekima ya dunia (Exceeds that of the world)
Na ujuzi wa wanadamu (And the knowledge of humans)

Hofu iliinuka (Fear rose)
Ikakutana na wewe (But it encountered You)
Ikafungwa kinywa, tumeinuka (And it was silenced)
Taabu za dunia (Troubles of the world)
Zinapokutana na wewe (When they encounter You)
Tunashinda yote, tunainuka (We win over all)

Refrain:
Asante (Thank You)
Wewe ni Mungu usiyeshindwa (You are an unconquerable God)
Asante (Thank You)
Wewe ni Mungu usiyeshindwa (You are an unconquerable God)

Macho yangu yameona (You have seen my eyes)
Mkono wa Bwana unaotenda mema (The arm of the Lord that does good)
Dunia yanyamaza (The earth is silent)
Hekima zimekoma (All wisdom has ceased)
Utaalamu umenyamaza, ujuzi umeshindwa (Knowledge has been silenced)
Damu inanena mema (The Blood talks good)
Na Mungu uliyeyatenda hayo (And God who has made them to be)
Ndiwe utatenda yale (Is the same one that will accomplish it)
Tuko salama nawe (We are safe with You)

Taabu za dunia (The troubles of the world)
Zikikutana na mfalme (When they encounter the King)
Zinafichwa nguvu tunainuka (Lack the strength to rise)
Hiyo hofu ya maisha (The troubles of the world)
Ikikutana na Bwana (When they encounter the Lord)
Inafungwa kinywa, tunainuka (They are silenced)

(Refrain)

Hao wanataja magari (Them they call on cars)
Wale wanazisifu mali (They praise wealth)
Sisi twakutaja wewe (But we call unto You)
Mungu usiyeshindwa (God who will never be defeated) (Repeat)

(Refrain)

Advertisement