(Sung in Swahili – A Hymn)

Ni tabibu wa karibu (The great Physician now is near)
Tabibu wa ajabu (The sympathizing Physician)
Na rehema za daima (And with His everlasting Mercy)
Ni dawa yake njema (Is His )

Refrain:
Imbeni, malaika (Sweetest note in seraph song)
Sifa za Yesu Bwana (Sweetest Name on mortal tongue)
Pweke limetukuka (Sweetest carol ever sung)
Jina lake Yesu (The Name of Jesus)

Hatufai kuwa hai (We are not supposed to be alive)
Wala hatutumai (Neither have hope)
Ila kweli yeye ndiye (But in only in Him)
Atupumzishaye (Do we find our rest)

Dhambi pia na hatia (All our sins and guilt)
Ametuchukulia (He has forgiven us all)
Twendeni na amani (Let us go our way in peace)
Hata kwake Mbinguni (Until His Heaven)

Huliona tamu jina (How sweet is the Name)
La Yesu Kristo Bwana (Of Jesus Christ our Lord)
Yuna sifa mwenye kufa (He has praise the one who died)
Asishindwe na kufa (Who defeated death)

Kila mume asimame (Every man should stand)
Sifa zake zivume (So His praises may spread)
Wanawake na washike (The women too should continue)
Kusifu jina lake (To praise His Holy Name)