(Sung in Swahili)

Refrain:
Uinuliwe, Yesu, wewe Mwema (Be lifted, Jesus, You are Good) x2
Uabudiwe, Yesu, wewe Mwema (Be worshiped, Jesus, You are Good) x2
Utukuzwe Yesu, wewe Mwema (Be praised, Jesus, You are Good) x2

Eh Bwana katika miungu yote (Oh Lord amongst other gods)
Ni nani aliye kama Wewe? (Who is like You?)
Mtukufu katika utakatifu (Glorious in holiness)
Mwenye kuogopwa katika sifa (The One fearful in praise)
Uliyevuma kwa upepo Wako (You one who moved with Your storms)
Bahari ikafunikiza adui (And the ocens sunk the enemies)
Wakazama kama risasi (They sank like lead)
Risasi ndani ya maji makuu (Like lead in mighty waters)

(Refrain)

Advertisement