(Sung in Swahili – A Hymn)

Yesu kwetu ni rafiki (What a friend we have in Jesus)
Hwambiwa haja pia (All our sins and griefs to bear)
Tukiomba kwa Babaye (What a privilege to carry)
Maombi asikia (Everything to God in prayer)
Lakini twajikosesha (O what peace we often forfeit)
Twajitweka vibaya (O what needless pain we bear)
Kwamba tulimwomba Mungu (All because we do not carry)
Dua angesikia (Everything to God in prayer)

Una dhiki na maonjo (Have we trials and temptations?)
Una mashaka pia (Is there trouble anywhere?)
Haifai kufa moyo (We should never be discouraged)
Dua atasikia (Take it to the Lord in prayer!)
Hakuna mwingine Mwema (Can we find a friend so faithful)
Wa kutuhurumia (Who will all our sorrows share?)
Atujua tu dhaifu (Jesus knows our every weakness)
Maombi asikia (Take it to the Lord in prayer)

Je, hunayo hata nguvu (Are we weak and heavy laden)
Huwezi kuendelea (Cumbered with a load of care?)
Ujapodharauliwa (Though your friends despise you)
Ujaporushwa pia (Though they forsake you?)
Watu wange kudharau (Though you are despised)
Wapendao dunia (By worldly people)
Hukwambata mikononi (In his arms he’ll take and shield you)
Dua atasikia (You will find a solace there)

Advertisement