(Sung in Swahili)

Hali hii yangu (My current situation)
Isiwe nafasi ya kuto msifu Mungu (Should not be a time to forget to praise God)
Mahali nil’ofika pasi ninung’unishe moyo (Where I have reached, to not let my heart complain)
Daima nimshukuru (But forever to thank Him)
Nafsi yangu ‘sisahau (My self to not forget)
Yale yote ametenda (All that He has done for me)
Kwa upendo wake mwema (Through His Great Love)
Kanizingira kwa neema (And surrounding me with Grace)
Moyo wangu, vuta heri kwa subira (My soul, find joy in waiting)

Refrain:
Atajibu dua langu (He will answer my prayer)
Kwa njia Yake, na wakati Wake (In His way and in His time)
Atajibu dua langu (He will answer my prayer)
Kwa njia Yake, na wakati Wake (In His way and in His time)
Moyo tulia (Be still my heart)

Najua njia hii si rahisi (I know that this is not easy)
Natambua mlima huu umezidi (I understand that this mountain is difficult)
Uwezo wangu (Beyond my capability)
Egemeo ni Yesu tu (The fortress is only Jesus)
Na hata giza likija na mashaka pia (Even if darkness and doubts come)
Yazibe macho yangu (To veil my eyes)
Bado nitazidi, kwani Ye aliahidi (I will still continue, for He promised)
Nasadiki Neno lake kweli (And I believe His Word to be true)

(Refrain)

Kwani Yeye anakuona (For He sees you)
Tena Yeye anakujali (moyo tulia) (And He also cares for you (Be still my heart))
Anahisi uchungu wako (He senses your pain)
Tulia, tulia (Be still, be still)

(Refrain)

Advertisement