Natamani kusema na wewe hapo ulipo
(I desire to speak with you where you are)
Shauku yangu nizungumze na wewe kama unanisikia
(My passion is to speak with you, (If you can hear me) (Repeat)

Vile ulivyo, ni mpango wa Mungu uwepo (The way you are is by God’s plan)
Ana makusudi na wewe, ndio maana upo leo (He has intentions for you, that is why you are here today)
Unavyojitazama, hivyo ulivyo (The way you see yourself)
Ni mpango wa Mungu kwako, ndio maana uko hivyo (Is by God’s plan about you) (Repeat)

Wengine wamekufa, hatujui tutaonana lini (Others have passed on, we do not know when we’ll meet next)
Wewe uko hai, mtukuze Mungu tu (You are alive, so praise God)
Wengine wanalia, hawajui wataishi vipi kesho (Others are weeping, not knowing how they’ll survive)
Wewe una kula na kunywa, mtukuze Mungu tu (You have food and drink, so praise God) (Repeat)

Wengine wamelazwa, hawajui watapona lini (Others are admitted, not knowing when they’ll heal)
Wewe uko na afya, mtukuze Mungu tu (You are healthy, so praise God)
Wengine wamepoteza, baadhi ya viungo vyao (Others have lost some of their organs)
Wewe uko mzima, mtukuze Mungu tu (But you are complete, so praise God)

Wewe simama, simama (You stand, stand firm)
Simama mtukuze Mungu tu (Stand and praise God) (Repeat)

Repeat: Simama, simama (Stand firm)
Vile ulivyo (The way you are) x3
Kwenye taaabu zako (In your troubles)
Kwenye mateso (In your trials)
Kwenye mapito yako (In your paths)
Mtukuze Mungu tu (Just praise God)
Mtukuze Yesu (Praise Jesus)
Mtukuze Baba (Praise the Father)
Mtukuze Yesu (Praise Jesus)
Yahweh x3
Mtukuze Mungu tu (Just praise God)

Ni kweli umepitia magumu, yenye kukuvunja moyo (It’s true you’ve passed through heartbreak)
Mungu wako anajua, jinsi ulivyo (Your God knows your situation)
Ni kweli ulilia sana, hujui mwisho wake lini (It is true that you have cried for so long, you do not see the end)
Mungu wako anajua, kilio chako (Your God understands your sorrow) (Repeat)

Jaribu lako, limekuwa kama mlima (Your trials have become like mountains)
We usirudi nyuma, mtukuze Mungu tu (Do not go back, but praise God)
Watu watasema, kama vile kwa Ayubu (People will talk about you like they did Job)
(Wewe) usinyamaze kimya, mtukuze Mungu tu (You do not be silent, but praise God) (Repeat)

(Refrain)

Wewe simama, simama (You stand, stand firm)
Simama mtukuze Mungu tu (Stand and praise God) (Repeat)

(Refrain)

Advertisement