(Sung in Swahili)

Kama Mungu ungetazama (Truly God, If you looked at me)
Kama watu tunavyotazama (The way people see me)
Nisingetosha kwenye mizani (I would not fit on the scale)
Nisingekidhi masharti (I would be disqualified)

Hukuangalia historia (You did not regard the history)
Ya familia niliyotokea (Of the family I came from)
Hazikukutisha zangu tabia (My behavior did not terrify you)
Ulilitazama lililo Jema (You saw what was Good in me)

Umenipenda nisiyestahili (You have loved me, the undeserved)
Umeniita mwanao (You have called me Your child)
Niliyejidhania kuwa sifai (The one who thought was not good enough)
Umenipenda Upeo (You have given me a future)
Umebadilisha na yangu asili (You have changed my origins)
Umenifanya mboni ya jicho lako (You have made me the apple of your eye)

Ungehitaji walio kamili (If you needed those who are complete)
Mimi si mmoja wao (I would not be among them)
Ulichojali wangu utayari (What You cared was for my readiness)
Wa kufanya utakalo (To do Your Will)
Umenikabidhi na zako siri (You have shared Your secrets)
Na kunifanya, rafiki wa moyo Wako (And made me, a Friend of Your heart)

Bwana umenikubali, jinsi nilivyo (Lord You have accepted me, the way I am)
Umenikubali, jinsi nilivyo (You have accepted me, the way I am)
Umeona jema ndani yangu (You have seen Good in me)
Na wala, hukutazama unyonge wangu (And did not look at my weaknesses)

Kuna muda najiuliza (There are times I ask myself)
Wewe ni Mungu wa namna gani? (What kind of God are You?)
Uliyenipenda na kunikubali (That You have loved and accepted me)
Mtu wa namna hii (Someone like this?)

Ziko nyakati hata mimi (There are times that even I)
Napata shida kujikubali (Have trouble believing in myself)
Iweje wewe unipende (How then can you love me)
Mtu wa namna hii? (A person like this?)

Umenipenda nisiyestahili (You have loved me, the undeserved)
Umeniita mwanao (You have called me Your child)
Niliyejidhania kuwa sifai (The one who thought was not good enough)
Umenipenda Upeo (You have given me a future)
Umebadilisha na yangu asili (You have changed my origins)
Umenifanya mboni ya jicho lako (You have made me the apple of your eye)

Ungehitaji walio kamili (If you needed those who are complete)
Mimi si mmoja wao (I would not be among them)
Ulichojali wangu utayari (What You cared was for my readiness)
Wa kufanya utakalo (To do Your Will)
Umenikabidhi na zako siri (You have shared Your secrets)
Na kunifanya, rafiki wa moyo Wako (And made me, a Friend of Your heart)

Bwana umenikubali, jinsi nilivyo (Lord You have accepted me, the way I am)
Umenikubali, jinsi nilivyo (You have accepted me, the way I am)
Umeona jema ndani yangu (You have seen Good in me)
Na wala, hukutazama unyonge wangu (And did not consider my weaknesses)

Ahsante! Asante! (Thank You! Thank You!)
Umeona jema ndani yangu (You have seen Good in me)
Na wala, hukutazama unyonge wangu (And did not look at my weaknesses) (Repeat)

Advertisement