(Sung in Swahili)

Magumu hayanifanyi (Trials will not cause me)
Kusahau kuwa, wewe ni Mungu (To forget, that You are God)
Machozi, hayanifanyi (My tears will not cause me)
Kusahau wewe, mtetezi wangu (To forget, that You are my Defender) (Repeat)

Haukunileta umbali huu (You did not bring me this far)
Uniache, uniache (That You would abandon me)
Hukuniinua juu (You did not lift me up)
Uniangushe, uniangushe (For You to let me fall)

Refrain:
Kwa kuwa mi ni ka Baba (For I am with (?) the Father)
Nimekwamini, nimekwamini (I have trusted in You)
Kwa kuwa mi ni ka Baba (For I am with (?) the Father)
Nimekwamini, nimekwamini (I have trusted in You)
I will trust in Your words

Umenifanyika nguvu, katika udhaifu wangu (You have been manifested Your strength in my weakness)
Na wakati wa hofu, umenikumbatia Yesu (In my moments of fear, Jesus You have embraced me)
Na pasiko kusita, ‘metunza mwelekeo wangu (And without hesitation, You have preserved my paths)
Kwa uaminifu wako nimesimama (I stand firm in Your faithfulness)
Kwa uaminifu wako nimesimama (I stand firm in Your faithfulness)

(Refrain)

Bridge:
Nitakwamini tu (I will trust in You) x3
Takwamini (I will trust You) (Repeat)

(Refrain)

Advertisement