(Sung in Swahili)

Spoken:
Daudi anasema maneno haya (David says these words:)
“Ujulikane una haki, ee Mungu usemapo neno lako” (“Be it known you are righteous, Oh God when You declare Your Word)

Ujulikane una haki, usemapo neno lako
(Be it known that You are righteous when declaring Your word)
Ujulikane una haki, utoapo hukumu
(Let it be known You are righteous, when rendering judgement)
Mtakatifu Yesu, Mtakatifu Yesu
(Holy Jesus, Holy are You Jesus) (Repeat)

Mwaminifu ni wewe, ukisema unatenda (You are faithful, what You say you do)
Mwaminifu ni wewe, neno lako lina nguvu (You are faithful, Your Word is powerful)
Mtakatifu Yesu, Mtakatifu Yesu (Holy Jesus, Holy are You Jesus) (Repeat)

Nakuabudu, nakuabudu Yesu (I worship You, I worship You Jesus)
Nakuabudu Yesu (I worship You Jesus)
Wastahili! Wastahili Yesu (Worthy! You are worthy, Jesus)
Wastahili Yesu (You are worthy, Jesus)
Mtakatifu! Mtakatifu Yesu (Holy! You are Holy, Jesus)
Mtakatifu Yesu (You are Holy, Jesus)

Ujulikane una haki, usemapo neno lako
(Be it known that You are righteous when declaring Your word)
Ujulikane una haki, utoapo hukumu
(Be it known You are righteous, when rendering judgement)
Mtakatifu Yesu, Mtakatifu Yesu
(Holy Jesus, Holy are You Jesus) (Repeat)

Advertisement