Chanzo cha Uhai Wangu (The Source of My Life) Lyrics by Rehema Simfukwe

Leave a comment

(Sung in Swahili)

Nimejifunza kudhiliwa, na kufanikiwa (I have have been humbled, and I have seen success)
Katika yote, wewe bado Mungu (In the midst of all, You remain God)
Ninajua kushiba, na kuona njaa (I have been full, and have been hungry)
Katika yote, wewe bado Mungu (In the midst of all, You remain God)

Acha upepo nao uvume (Let the storms rage)
Mimi nitakuabudu wewe (I will still worship You)
Chanzo cha uhai wangu, nakuabudu (The source of my Life, I worship You)
Acha giza nalo litande (Let the darkness )
Mimi nitakuabudu wewe (I will worship You)
Chanzo cha uhai wangu, Yesu nakuabudu (The source of my Life, I worship You)

Nimejifunza kudhiliwa, na kufanikiwa ( have have been humbled, and I have seen success)
Katika yote, wewe bado Mungu (In the midst of all, You remain God)
Ninajua kushiba, na kuona njaa (I have been full, and have been hungry)
Katika yote, wewe bado Mungu (In the midst of all, You remain God)

Ninajua kupendwa, na kukataliwa (I have known love and rejection)
Katika yote, wewe bado Mungu (In the midst of all, You remain God)
Naujua udhaifu, na kuona afya (I have known weakness and health)
Katika yote, wewe bado Mungu (In the midst of all, You remain God)

Acha upepo nao uvume (Let the storms rage)
Mimi nitakuabudu wewe (I will still worship You)
Chanzo cha uhai wangu, nakuabudu (The source of my Life, I worship You)

Nakuabudu, nakuabudu! (I worship You, I worship You!)
Wewe ni chanzo cha uhai wangu (The source of my Life, I worship You) (x2)
Nakuinua, nakuinua! (I lift You up, I lift You high)
Wewe ni chanzo cha uhai wangu (The source of my Life, I worship You) (Repeat)

Hallelujah, Hallelujah!
Wewe ni chanzo cha uhai wangu (The source of my Life, I worship You) (Repeat)

Ninajua kupendwa, na kukataliwa
Katika yote, wewe bado Mungu
Naujua udhaifu, na kuona afya
Katika yote, wewe bado Mungu

Ndio (Yes) Lyrics by Rehema Simfukwe

Leave a comment

(Sung in Swahili)

Refrain:
Ameamua, nani apinge? (He has decided, who can oppose him?)
Baba amesema ndio, nani akatae? (The father has said yes, who can refuse?) (Repeat)

Amedhibitisha, mimi ni mtoto wake (He has affirmed, that I am His child)
Sina mashaka na yeye (I do not have any doubt about Him)
Kifo chake msalabani, ilimaliza yote (His death on the cross, paid it all) (Repeat)

Aliyosema atalifanya (What He said, He will do)
Tumemwamini kwa mambo mengi (We have trusted Him on many things)
Bwana amesema ndio, nani akatae? (The father has said yes, who can refuse?)

(Refrain)

Ndio yake, ni ndio (His yes, is yes)
Akishasema amesema (He said what he said)
Baba amesema ndio, nani akatae? (The father has said yes, who can refuse?)(Repeat)

%d bloggers like this: