(Sung in Swahili)

Ha oh… yeah

Umeinuliwa zaidi (You have been lifted higher than)
Ya milima yote duniani (All the high places on earth)
Matendo yako makuu, ya ajabu (Your great works, amazing)
Yatisha kama nini! (They terrify) (Repeat)

Wewe ni Baba, ni Baba, ni Baba!  (You are the Father)
Wewe ni Mungu, ni Mungu, ni Mungu! (You are God) (Repeat)

(From the Top)

Pokea sifa, utukufu wote (Receive praise, and all the glory)
Eh Baba, unastahili! (Oh God, You deserve it) (Repeat)

Wewe ni Baba, ni Baba, ni Baba!  (You are the Father)
Wewe ni Mungu, ni Mungu, ni Mungu! (You are God) (Repeat)

Advertisement