(Sung in Swahili)

Refrain:
Akili yangu, haiwezi kukuabudu (My mind does not)
Na moyo wangu, haujui ibada (And my heart does not understand worship)
Nifunulie tena unionyeshe (Reveal to me and show me)
Njia ya kweli, ili nikuabudu (The true path, that I may to worship You) (Repeat)

So I return to the source, the source of me
I return to the source, the source of life (Repeat)

Nimekuabudu kwa akili yangu (I worship You with my mind)
Nimekuabudu kwa ujuzi wangu (I worship You with the works of my hands)
Bwana narudi, narudi (Lord I’m returning, I am returning)

Nimekuabudu kwa ujuzi wangu (I have worshiped you with the works of my hands)
Nimekuabudu kwa fedha zangu (I have worshiped you with my money)
Narudi, narudi (I’m returning, I’m returning to the source) (Repeat)

Advertisement