(Sung in Swahili)

Refrain:
Ufanye imara, agano (Fulfill your covenant)
Ufanye imara, agano (Fulfill your covenant)
Eh Bwana (Oh Lord)

Ufanya hima, na agano (Make haste with the Covenant)
Nami, ewe Bwana (With me, Lord)

(Refrain)

‘tangulie Bwana (Go before me Lord)
Tengeneza palipo paruzwa (Prepare a path before me)
Oh Bwana, nisaidie (Oh Lord, help me)

(Refrain)

Kama ulivyo tembea nami (As You have walked with me)
Tembea na wana wa wanangu (Walk with the children of my children)
Kama ulivyo nibariki (As You have blessed me)
Bariki na uzao wangu (Bless my offspring)
Kama ulivyo nilinda (As You have protected me)
Linda na taifa langu (Protect my country)
Kama ulivyo nisimamia (As You have stood by me)
Simamia na kazi ya mikono yangu (Stand over the works of my hands)

(Refrain)

Vunja vunja ‘pande (Break apart)
Milango ya shaba (The bronze doors)

(Refrain)

Kama ulivyo niongoza (As you have led me)
Ongoza na kanisa lako (Lead your Church as well)
Kama ulivyo niponya (As You have healed me)
Uponye na nyumba yangu (Heal my house as well)
Kama ulivyo niinua (As You have lifted me)
Inua na uzao wangu (Lift my offspring as well)
Wasiabudu miungu mingine (For them to not worship other gods)
Ila Mungu moja, Jehova (Apart from One God, Jehovah)
Wasitafute nguvu kwingine (For them not to look for strength elsewhere)
Isipo kuwa kwako tu (If not from You only)

(Refrain)

Nipe hazina za gizani (Grant me the treasures of darkness)
Na mali zilizofichwa (And wealth that had been hidden)

(Refrain)

Nikwitaye kwa jina lako (The One I call by Your name)
Mungu wa Israeli (God of Israel)

(Refrain)

Advertisement