(Sung in Swahili – A Psalm)

Bwana ni mchungaji wangu (The Lord is my Shepherd)
Sitapungukiwa kitu (I shall not want)
Hun’laza penye majani mabichi (He makes me lie down in green pastures)
Hun’ongoza kwa maji matulivu (He leads me beside still waters)

Hunihuisha nafsi yangu (He restores my soul)
Hun’ongoza kwa njia za haki (He leads me in paths of righteousness)
Nipitapo bondeni mwa mauti (Even though I walk through the valley of the shadow of death)
Sitaogopa yeye u nami (I will fear no evil, for you are with me)

Refrain:
Hakika wema nazo fadhili (Surely your goodness and mercy)
Zitanifuata mimi (Shall follow me)
Nitakaa nyumbani mwa bwana (I will dwell in the house of the Lord)
Siku zote za maisha yangu (All the days of my life) (Repeat)

Gongo lako na fimbo yako (Your rod and your staff)
Vinanifariji mimi (They comfort me)
Waandaa meza mbele yangu (You prepare a table before me)
Machoni pa watesi wangu (In the presence of my enemies)

(Refrain)

Advertisement