(Sung in Swahili)

Moyo wakutamani ewe Baba (My soul desires you, Father)
Mwili wangu wakulilia (My body cries our for You)
Kama vile ayala (Just like the deer)
Atamanivyo maji akiona kiu (When thirsty, pants for water )
(Repeat)

Refrain:
Nikuabudu Bwana, Nikuabudu (To worship You Lord, to worship You)
Ndio tamaa yangu milele (Is my desire forever)
Yesu, nikuabudu (Jesus, to worship You)
(Repeat)

Ninapofadhaika (When I despair)
Nitakimbia hekaluni mwako, Yahweh (I will run to Your sanctuary, Lord)
Na nitaimimina nafsi yangu (I shall pour my soul)
Mbele zako Bwana (Before You Lord)
Kwani upendo wako ni wimbo wa kunitimiza (For Your Love is a fulfilling song)
Jina lako tegemeo (Your Name is dependable)
Tena ngome ilio imara (And a safe refuge)

(Refrain)

Hapa chini ya mbawa zako, sala ni moja (My prayer while under Your wings)
Kwamba kwa macho haya yangu (Is that with my eyes)
Niuone utukufu wako (I would witness Your Glory)
Tenda miujiza, Baba (Do Your miracles, Father)
Tenda maajabu (Do miracles)
Kwani fadhili zako (For your Mercies)
Ni bora kuliko uhai (Are better than life)

(Refrain)

Amen, Amen Amen Amen x?

Amen