Wazee 24 (Twenty-Four Elders) Lyrics by Dr Ipyana

Leave a comment

(Sung in Swahili)

Wazee ishirini na nne, wanakuabudu (Twenty-four elders worship You)
“Mtakatifu, ni wewe Bwana” (“Holy! You are Lord”)
Wenye uhai wanne, wanakutukuza (The four living creatures exalt You)
“Mtakatifu, ni wewe Bwana” (“Holy! You are Lord”)

Wazee ishirini na nne, wanakuabudu (Twenty-four elders worship You)
Mtakatifu! Mtakatifu! (Holy! Holy!)

Nasi twaungana nao, tunakuabudu (We join them in worshiping You saying)
Mtakatifu! Mtakatifu! (Holy! Holy!) (Repeat)

Wazee ishirini na nne, wanakuabudu (Twenty-four elders worship You)
“Mtakatifu, ni wewe Bwana” (“Holy! You are Lord”)
Wenye uhai wanne, wanakutukuza (The four living creatures exalt You)
“Mtakatifu, ni wewe Bwana” (“Holy! You are Lord”)

You are Holy! You are Holy!
You are Holy, You are Holy! (Repeat)

Wastahili! Wastahili! (You deserve it)
Wastahili! Wastahili! (You deserve it) (Repeat)

Wanishangaza (You Amaze Me) Lyrics by Dr Ipyana

Leave a comment

(Sung in Swahili)

Ubarikiwe milele (Be blessed forever)
Fadhili zako ni za milele (Your Mercies are forever)
Utukuzwe! Umetenda mema Baba
(Be Praised! For You have done good, Father) (Repeat)

Wanishangaza (You amaze me)
Matendo yako ya ajabu (By Your miraculous works)
Utukuzwe! Umetenda mema Baba
(Be Praised! For You have done good, Father) (Repeat)

Wewe ni Mungu, Wewe ni Mungu
(You are God, You are God)
Utukuzwe! Umetenda mema Baba
(Be Praised! For You have done good, Father) (Repeat)

Wanishangaza (You amaze me)
Matendo yako ya ajabu (By Your miraculous works)
Utukuzwe! Umetenda mema Baba
(Be Praised! For You have done good, Father) (Repeat)

Wanishangaza! (You amaze me!)

Hata Hili Litapita (This Too Shall Pass) Lyrics by Dr Ipyana Ft. Paul Clement

Leave a comment(Sung in Swahili)

Nitayainua macho yangu nitazame, milima
(I will lift up my hills to the mountains)
Msaada wangu utatoka wapi?
(Where my does my help come from?)
Msaada wangu ni katika wewe (My help is in You)
Usiyeacha nipotee (Who will not let me go astray)
Chini ya msalaba wako (Beneath Your Cross) (Repeat)

Refrain:
Hata hili litapita (This too shall pass)
Kama yale yalivyopita (As the other ones passed)
Chini ya msalaba wako (Beneath Your Cross) (Repeat)

Chini ya uvuli wako najisitiri (I hide myself under your shadow)
Mbali nazo shida za maisha (Far away from life’s troubles)
Nifunike na Pendo Lako (Cover me with Your Love)
Chini ya msalaba wako (Beneath Your Cross) (Repeat)

(Refrain)

%d bloggers like this: