(Sung in Swahili)

Mwamba, Yesu Mwamba (Rock, Jesus is the Rock)
Acha nitangaze, sifa zako (Let me declare Your praises) (Repeat)

Refrain:
Kama si mkono wako, mkono wako (If it wasn’t for Your Hand)
Ningekuwa wapi? (Where would I be?) (Repeat)

Nimesimama juu ya mwamba, palipo na nafasi (I stand on my reserved place on the Rock)
Umeniweka mahali pa juu (You have placed me on higher ground)
Umenitenga na dhoruba, na dhoruba, Bwana Yesu (Lord Jesus, You have spared me from the tempest)
Umeniweka mahali pa juu (You have placed me on higher ground) (Repeat)

(Refrain)

Kama si msalaba wako, msalaba wako, nigekuwa wapi?
(If it wasn’t for Your Cross, where would I be?)
Kama si huruma zako, huruma zako, ningekuwa wapi?
(If it wasn’t for Your compassion, where would I be?)
Kama si rehema zako, rehema zako, ningekuwa wapi?
(If it wasn’t for Your Mercies, where would I be?)

(Refrain)

Umenitendea, umenitendea, umeniweka mahali pa juu (You have done well for me, You have placed me on higher ground)
Umeniinua, umeniinua, umeniweka mahali pa juu (You have lifted me, and placed me on higher ground)
Umeniinua, umeniinua, umeniweka mahali pa juu (You have lifted me, and placed me on higher ground)

(Refrain)

Kama si rehema zake, rehema zake, ungekuwa wapi? (If it wasn’t for His mercies, where would you be?) x2
Kama si mkono wake, mkono wake, ungekuwa wapi? (If it wasn’t for His hand, where would you be?)

Umeniinua, umeniinua, umeniweka mahali pa juu (You have lifted me, and placed me on higher ground) x2

Advertisement