Hakuna Gumu Kwako (Nothing is Impossible to You) Lyrics by John Lisu

Leave a comment

(Sung is Swahili)

Wewe ndiwe Mungu (You are God)
Wastahili utukufu (You deserve the praise)
Umefanya mengi ya ajabu (For You have done amazing things)
We ni mfalme (You are the King)

Refrain:
Hakuna gumu kwako, Yesu (Nothing is impossible to You, Jesus)
Hakuna gumu kwako (Nothing is impossible to You)
Hakuna gumu kwako Yesu (Nothing is impossible to You, Jesus)
Hakuna gumu kwako (Nothing is impossible to You)

Ulitembea juu ya maji, Yesu (Nothing is impossible to You, Jesus)
Hakuna gumu kwako (Nothing is impossible to You)
Wafanya njia pasipo na njia (You make a way where there is no way)
Hakuna gumu kwako (Nothing is impossible to You)

Na wagonjwa wanapona, Yesu (You heal the sick, Jesus)
Hakuna gumu kwako (Nothing is impossible to You)
Hakuna gumu kwako Yesu (Nothing is impossible to You, Jesus)
Hakuna gumu kwako (Nothing is impossible to You)

(Refrain)

Kuta za gereza zatingizika (The prison walls are shaken)
Minyororo yakatika (The chains are broken)
Wafungwa wafunguliwa, Yesu (The prisoners are released, Jesus)
Hakuna gumu kwako (Nothing is impossible to You)

(Refrain)

Mashtaka yetu yamefutwa (The accusation)
Vita vyetu ni juu ya Bwana (Our battles belong to the Lord)
Falme zitainuka, falme zitaanguka (Kingdoms will rise and fall)
Bali ufalme wako wadumu (But Your Kingdom is everlasting)

Falme zitainuka, falme zitaanguka (Kingdoms will rise and fall)
Bali ufalme wako wadumu (But Your Kingdom is everlasting)

(Refrain)

Milima yayeyuka kama nta ,mbele zako (Mountains melt like wax before You)
Wanguruma kama rad,i wewe Mungu mwenye nguvu (You roar like thunder, You are a mighty God)
Uliumba pasipo wewe kuumbwa (You created but not were not created)
Wewe ni Mfalme (You are King) (Repeat)

Advertisement

Jina La Yesu (The Name of Jesus) Lyrics by John Lisu

Leave a comment

(Sung in Swahili)

Yesu, Jina lako (Jesus, Your Name)
Limeinuliwa juu (Has been lifted high)
Lapita majina yote (Above all other names)
Twakuabudu (We worship You)
Yesu, Jina lako (Jesus, Your Name)
Ni dawa kwa mataifa (Is medicine to the nations)
Wastahili wewe tu Bwana (You deserve it, only You Lord)

Umezungukwa na utukufu wako (You are surrounded by Your Glory)
Umejivika heshima (You have clothed Yourself with honor/respect)
Kama vazi (Like a garment)
Hakuna kama Wewe (There is none other like You) (Repeat)

Mshauri wa ajabu (Wonderful counselor)
Mungu mwenye nguvu (Mighty God)
Baba wa milele (Everlasting Father)
Nani kama wewe? (Who is like You?)
Nani kama wewe? (Who is like You?)
Kuhani, mwombezi, Rafiki (High Priest, intercessor and Fried)
Nani kama wewe (Who is like You?)
Nani kama wewe? (Who is like You?)
Hakuna kama wewe (There is none like You)

Wa kufanana na we, hakuna (There is none who is like You)
Wa kulingana na we, hakuna (There’s none compared to You)
Hakuna, mwingine, kama wewe (There none other like You) (Repeat)

Una nguvu, Una nguvu (You are Mighty, You are Mighty)
Una nguvu, Bwana (Lord, You are Mighty) (Repeat)

Haleluya, haleluya (Hallelujah, Hallelujah)
Haleluya, Bwana (Hallelujah to the Lord)
Mtakatifu, mtakatifu (Holy, Holy)
Mtakatifu (Holy)

Wa kufanana na we, hakuna (There is none who is like You)
Wa kulingana na we, hakuna (There’s none compared to You)
Hakuna, mwingine, kama wewe (There none other like You) (Repeat)

%d bloggers like this: