Yupo (He’s Here) Lyrics by Sarah K

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Refrain:
Yupo  (He’s here) x8

Upo upako wa ajabu; humu (There’s a great anointing in this place)
Upo utulivu angani (There is peace in the air)
Njooni kwake Yesu, ni muweza (Come to Jesus, He is mighty)
Atawatuliza, maana yupo (He shall provide you rest, for He is here)

Refrain:

Yupo, yupo (He is here)
Avunjae nyila zote (The one that breaks every chains)
Na kubeba mizigo mizito (And carries heavy burdens)
Yupo, yupo, Kurejesha tumaini (He is here, to restore hope)
Kuwainua wanyonge (And lift the weak)
Njooni nyote, kabidhini mizigo zenu (Come all, surrender your burdens)
Atawabebea, maana yupo (He’ll carry them for you, for He’s here)

Mbona mwakawia kuja kwake? (Why hesitate coming to Him?)
Neema kuu ipo, ya ajabu (There is great and amazing grace)
Njooni kwake sasa, msihofu (Come to Him now, do not fear)
Mtamwona leo, maana yupo (You’ll see Him today, for He is here) (Repeat)

(Refrain)

Advertisement

Mitei Lapkeiyet lyrics by Emmy Kosgei

Leave a commentVerse 1:
Mitei Lapkeiyet, bandanyu tugul
Ye asirei chun che tananso
Kile Jesu, magoi abakakten
Kosu laanyun ng’olyondenyin

Chorus:
Lapkeiyet Jesu, nebo kipsengwet
Ne kigo werwo muguleldanyu
Haleluya, Abaibai mising’
Agasigei eng’ yetindenyu

Verse 2:
Nga ndami nyalil, komoswek tugul
Koma koitekta yetindenyu
Jesu ko lapkeiyetab ng’onyuni
Nekitendo inego tugul

(Chorus)

Verse 3:
Awendi konyu, nekigochabwa
Alosunoti, eng’ bandanyu
O boiboyet eng’ muguleldanyu
Amu ne lapkeiyet ak chamyet

(chorus)(repeat twice)

Maneno (Words) Lyrics by Betty Bayo

3 Comments(Sung in Swahili)

Chorus:
Maneno, ya kinywa changu (The Words of my mouth)
Wacha yatawaliwe, na wewe Bwana (Let them be ruled by you Lord)
Maneno, ya kinywa changu (The Words of my mouth)
Wacha yatawaliwe, na wewe Bwana (Let them be ruled by you Lord)

Verse 1:
Ninaponena, juu ya maisha yangu (When I speak of my life)
Ninene ya baraka, si kulaani (Let me speak for blessings not curses)
Nimebarikiwa, imeinuliwa (I have been blessed, I have been lifted up)
Maana kunayo nguvu, katika maneno (Because there is power in words)
Ingawaje, hali nilioko (Even though my current situation)
Ni ya kuhuzunisha, na kuhangaisha (Is pitiful and desperate)
Nitabiri mema, tena mazuri (Let me prophesy good things)
Maana kunayo nguvu, katika maneno (Because there is power in words)

(Chorus)

Verse 2:
Kazi, ya mikono yangu (The work of my hands)
Wacha ibarikiwe, na wewe Bwana Let it be blessed by you Lord)
Niamkapo, na nilalapo (When I awake, and when I sleep)
Wacha nilindwe, na wewe Bwana (Let me be guarded by you Lord)

(Chorus)

Verse 3:
Bwana naomba, yote nisemayo (Lord I pray, that all I say)
Uwe umenipaka, yawe baraka (Should be annointed, and be a blessing)
Uimbaji wangu, utawaliwe nawe (My singing, Let it be ruled by you)
Ninene yote, yawe baraka (So that all I say, will be a blessing)

(Chorus)

Umeniandalia Meza lyrics by Marion Shako

1 Comment(The Shepherd’s Psalm – Psalm 23)

Bwana mchungaji wangu, sitapungukiwa
katika malisho ya majani, mabichi hunilaza
Kwa maji matulivu, yeye huniongoza
Kwa uvuli wa mauti, sitaogopa kamwe

Chorus:
Umeniandalia, meza mbele yangu
Machoni pa watesi wangu, Bwana huniongoza
Huisha nafsi yangu, katika njia za haki
Kwa ajili ya jina lako, wewe upo nami

Nimekukimbilia, Baba Mungu wangu
Nisiaibike, mbele za watesi wangu
Wewe upo nami, gongo na fimbo yako
vyanifariji Baba, Sitaogopa kamwe

(Chorus)

Umenipaka mafuta, kichwani mwangu
Kikombe kinafurika, machoni pa watesi wangu
Wema nazo fadhili, zitanifuata
Siku zote za maisha yangu, nyumbani mwako milele

Tukutendereza (We Praise You) by Esther Wahome

3 Comments


(Sung in Luganda, Zulu, Swahili and Bemba)

Chorus:
Tukutendereza,Tukutendereza Yesu (We praise you, we praise you Jesus) x2
Siyakudumisa, Siyakudumisa Yesu  (We praise you, we praise you Jesus) in Zulu
Tukutendereza,Tukutendereza (We praise you, we praise you Jesus) in Luganda

Jina lako limetukuka juu, juu sana (Your name is praised on high)in Swahili
Ndio maana ninakuabudu, nikisema tukutendereza (That is why I sing saying “praise you”)
Natotela, Natotela Lesa wandi (I thank my God) – In Bemba
Natotela, Natotela Tata wandi (I thank my Father)
Natotela, natotela (I give thanks, I give thanks)
Tata wandi Nalikutemwa (My Father, I love You)
Lesa wandi Nalikutemwa (My God, I love You)
Natotela, Natotela (I thank You)

(Chorus)

Uwepo wako upo nami baba, hauniachi (Your anointing is with me, it won’t leave me)
Hauniachi, ee baba yangu (It won’t leave my my Father)
Ndo maana ninakuinua, tukutendereza (That is why I lift you up in praise)
Natoteela, lesawandi na likutemwa (?)
natotela, Natoteela, tatawandi na likutemwa (?)

(Chorus)

Older Entries

%d bloggers like this: