(Sung in Swahili)

Chorus:
Hosanna, Haleluya, Hosanna (x4)
(Hosanna, Hallelujah, Hosanna)

Eh mataifa yote yamekusanyika kusema Hosanna
(All nations have convened to say Hosanna)
Mwana wa Daudi ndiye yule yuaja kwa mapendo wake (?)
(The son of David is the one who is coming with his love)
Yuaja (Kwa ujira wake), Ye huyu (mbarikiwa)
(He is coming (for his harvest), He is the one (The Blessed One))
Yuaja (kwa jina la Bwana), na tuseme Hosanna
(He is coming (in the name of the Lord), so we say Hosanna)

(Chorus)

Nikitazama ndege wa angani; hawapandi wala kuvuna
(When I look at the birds of the air; they neither sow nor reap)
Na wewe Baba wa mbinguni; huwalisha kila siku
(And you Father of Heaven; you feed them everyday)
Na mimi najua utanilisha na kunivisha
(And I know that you well feed and clothe me)
Ndiposa ninasema, Hosanna
(That is why I say, Hosanna)
Ndiposa ninasema, Hosanna
(That is why I say, Hosanna)

(Chorus)

Yeye ndiye (Yesu!), Yeye ndiye (Yesu!) x2
(He is (Jesus!), He is (Jesus!))
Twasema (Hosanna), Twasema (Hosanna) x2
(We say (Hosanna!), Twasema (Hosanna))
Cheza, cheza….
(Dance, dance….)

Advertisement