Wanishangaza (You Amaze Me) Lyrics by Dr Ipyana

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Ubarikiwe milele (Be blessed forever)
Fadhili zako ni za milele (Your Mercies are forever)
Utukuzwe! Umetenda mema Baba
(Be Praised! For You have done good, Father) (Repeat)

Wanishangaza (You amaze me)
Matendo yako ya ajabu (By Your miraculous works)
Utukuzwe! Umetenda mema Baba
(Be Praised! For You have done good, Father) (Repeat)

Wewe ni Mungu, Wewe ni Mungu
(You are God, You are God)
Utukuzwe! Umetenda mema Baba
(Be Praised! For You have done good, Father) (Repeat)

Wanishangaza (You amaze me)
Matendo yako ya ajabu (By Your miraculous works)
Utukuzwe! Umetenda mema Baba
(Be Praised! For You have done good, Father) (Repeat)

Wanishangaza! (You amaze me!)

Advertisement

I’ve Tasted of the Lord Lyrics by James Kahero and Sifa Voices

Leave a comment


(Sung in Swahili)

I have tasted of the Lord
And I know that Jesus you are good (Repeat)

I know! I know! I know!
Yes I know that Jesus you are good (Repeat)

(Same Lyrics in Swahili)
Nimeonja huyu Yesu
Ninajua yeye ni mwema (Repeat)

Swahili Refrain:
Najua! Najua! Najua!
Ninajua Yeye ni mwema (Repeat)

Ukishampata Yesu (When You receive this Jesus)
Utajua yeye yu mwema (You will know that He is good)
(Repeat)

(Swahili Refrain)

Ukimfuata huyu Yesu (When you follow this Jesus)
Utajua yeye yu mwema (you will know that He is good)
(Repeat)

(Swahili Refrain)

Umenifaa (You Satisfy Me) Lyrics by Eve Bahati

1 Comment


(Sung in Swahili)

Wanifaa x2 (You Satisfy me/ You suit me)
Ulinifia msalabani, Yesu unanifaa
(You died for me on the Cross, Jesus you suit me)
Ulimwaga damu yako mi nipone, unanifaa
(You shed Your blod that I may be healed, you suit me)
Ulishuka kuzimu, wee (You descended to hell)
Ukamnyang’anya shetani funguo, hee
(And wrested the keys from the devil)
Ulisema yamekwisha (And said it is finished)

Refrain:
Neno la Bwana linasema, tafuteni mungu
(The Word of the Lord says, seek God)
Na hayo mengine jamani, mtazidishiwa
(And everything else will be added unto You) (Repeat)
Unanifaa x8 (You suit me/ You are enough)

Amin’x3 nawaambia (Truly I say to you)
Mtu hawezi kufika kwake (No one can come to Him)
Ila kwa njia yake Yesu (Only through Jesus)
Maana Yesu njia ya uzima (For Jesus is the way of Life) (Repeat)

(Refrain)

Nadeka (I Am Proud) Lyrics by Guardian Angel

1 Comment


(Sung in Swahili)

Mungu wangu anapenda (My God loves)
Maskini na tajiri ana penda penda (Both the rich and the poor he loves)
Ndio maana mi na deka (That is why I am proud)
Niko mikononi mwake (For I am in His hands)
Kila kitu Kiko better (And everything is better)

Refrain:
Ibilisi ananyeta (The devil obstructs)
Kuna watu wakicheki unabarikiwa sana wanateta
(There are people who backbite when they see you blessed)
Anazidi kuleta mvua ya baraka na ma better (He continues to rain blessings and good things)
Inazidi kunyesha  (Continue to rain) (Repeat)

Aisifuye mvua imemnyea, (Whoever praises the rain has been rained on) namsifu juu amenitendea (I praise Him because He has done much for me)
Maajabu, Maajabu (Awesome things, Amazing things)
Ata wewe ukimkujia  (Even you – if you come to Him) najua atakutendea maajabu (I know He will do awesome things for you)
Maajabu, Maajabu (Awesome things, Amazing things)

Kuna wenye dhambi wengine takatifu (There are sinners and the righteous)
jua likiwaka linawawakia wote (When the sun shines, it shines on all)
wengine janja janja wengine waaminifu (Others are cunning, others faithful)
mvua ikinyesha inawanyeshea wote (When it rains, it rains on them all)
(Repeat)

(Refrain)

Mungu wangu anapenda penda penda penda (My God loves, loves, loves)
Na sa ndio maana mi na deka deka deka (That is why I am proud, proud, proud)
Mungu wangu anapenda deka penda deka (My God Loves,  proud, love, proud)
ananipenda na deka. (He loves me so I am proud)
(Repeat)

Ukimuita anacome through (He comes through when You call Him)
Ndio maana namsifu (That is why I praise Him)
Maombi anajibu (He answers prayers)

(Verse 2)

(Refrain)

Upendo(Love) Lyrics by Mercy Masika

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Ni mwaka mwingine tena (It is another year)
Nipepitia milima na mabonde (That I have passed through mountains and valleys)
Lakini tumevuka, (But we have passed)
Tumeshinda kwa neema yake (We have won by His Grace)
Siku yangu imefika (My day has arrived)
Na ninaimba Haleluya (And I sing Hallelujah) 

Kubarikiwa sio mali (To be blessed is not riches)
Ni kunyenyekea (It is in submission)
Na kumpata Yesu (And  finding Jesus) (Repeat)

Refrain:
Ni Yesu tu, sababu ya majira (It is Jesus, the reason for seasons)
Ni Yesu tu, twasherekea (It is Jesus, that we celebrate)
Ni Yesu tu, mkombozi wetu (It is Jesus, our Saviour)
Acha upendo wake utambae (Let his Love flow)x2

Mungu kapenda ulimwengu (For God loved the world)
Katupa mwanawe Yesu aje (That He gave His Son to come)
Kwa sababu yetu sisi (For our sakes)
Kwa upendo kutuokoa (By Love to save us)
Tumehurumiwa, basi wote tufurahie (We have been forgiven, let us all rejoice)

Kubarikiwa sio mali (To be blessed is not riches)
Ni kunyenyekea (It is in submission)
Na kumpata Yesu (And  finding Jesus) (Repeat)

(Refrain)

Umepata Yesu? Sema yeah (Have you received Jesus? Say Yeah!) x2
Amekuokoa? sema yeah  (Has he saved you? Say Yeah!) x2

(Refrain)

Upendo wa ajabu (utambae) (His great Love (let it flow))
Upendo wa Yesu (utambae) (The Love of Jesus (let it flow))
Wacha upendo wake utambae (Let his Love flow)

Older Entries

%d bloggers like this: