Nipe Neema (Grant Me Grace) Lyrics by Msanii Music Group

Leave a comment


(Sung in Kiswahili)

Wapo waliotembea kwa neema yako (There are those who walked in your grace)
Uliwafanya wakubalike kwa wengi (You made find favor by many)
Na walipo simama katikati ya watu (And when they stood among the people)
Uso wao ukang’aa kwa kibali (Their faces shone with favor)
Ah, waliandamwa na wivu wa wengi (Ah, they were pursued by the jealousy of many)
Lakini mipango yao haikusimama (But the jealous plans did not succeed)
Na ukanyanyua vichwa vyao juu (You lifted their heads high)
Kwa sababu mkono ulikuwa nao (For your hand was upon them)

Refrain:
Nipe Neema yako Bwana (Give me Your grace, Lord)
Nikubalike machoni pa watu (To find favor in the eyes of people)
Milango ifunguke mbele yangu (Let doors open before me)
Pasipo nguvu zangu (Without my own strength)
Nipe Neema yako Bwana (Grant me Your grace, Lord)
Fursa zinifuate kila mahali (Let opportunities follow me everywhere)
Wakiinuka kunizuia (When they rise to block me)
Nisimame kwa ushindi (Let me stand in victory)

Wapo walioketi chini kwa muda (There are those who waited for long)
Baadaye wakati wao ukafika (But their time came)
Uliwatoa mahali pa chini (You lifted them from low places)
Na kuwaweka mbele ya wakuu (And placed them before leaders)
Ah, alipopingwa na maneno ya watu (Ah, when they were opposed by people’s words)
Na njama zikapangwa gizani (And schemes were plotted in the dark)
Lakini neema yako ikasema (But Your grace declared)
Hakuna atakaye wazuia (No one will stop them)

(Refrain)

Neema yako initangulie Bwana (May Your grace go before me, Lord)
Kila mahali nimepanga kutafuta (Everywhere I plan to seek)
Neema yako izungumze kwa ajili yangu (Let Your grace speak on my behalf)
Hata kabla sijafika eh (Even before I arrive)
Na Bwana kama yule anayepanga kunizuia eh (And Lord, anyone planning to stop me)
Aone mkono wako juu yangu (Let them see Your hand upon me)
Na yeyote anayehusika kufungua milango, eh (And anyone responsible for opening doors)
Aone kibali chako kimewaka juu yangu, oh (Let them see Your favor shining upon me)

(Refrain)

Ushuhuda (Testimony) Lyrics by Dj Kezz ft Msanii Music Group

Leave a comment


(Sung in Kiswahili)

Tuliona hatuoni njia (We could not see the way)
The road ahead was dark and long
Tulilia tukisema “Bwana tusaidie” (We cried saying “Lord help us!”)
We thought the storm would drown us
Lakini alitushika mkono (But He held our hand)
He held us through every night
Tulipotetemeka moyoni (When we trembled within)
His grace became the Grace we needed

Refrain:
Look at us now
Huu ni ushuhuda (This is a testimony)
Tulidhani yote hayangewezekana (We thought all was impossible)
You wrote a good story, Lord
With a beautiful ending
Umetupitisha juu ya mawimbi yote (You have safely carried us through all the storms) (Repeat)

Safari ilikuwa ya majaribu (The road was full of trials)
Mountains felt like they were closing in
Tulidhani tutafika mwisho  (We thought we had reached the end)
But He kept reminding us, “I am here”
Kila hatua ilikuwa ngumu (Every step was difficult)
Yet his mercies covered every tear
Tukasimama kwa ahadi zake  (We stood on His promises)
His promises kept drawing us nearer

(Refrain)

Sasa tukiangalia nyuma  (Now looking at the past)
We see His footprints in our pain
Kila jaribu tulilopitia (Every trial we passed through)
Became a bridge He used to lift us
Mafiga ya maisha yalitupiga (Life beat us up)
But He steadied us again and again
Na leo tuko hapa tukisema (And today we are here saying)
His faithfulness has never changed

(Refrain)

Moyo Wangu (My Heart) Lyrics by Msanii Music Group

Leave a comment


(Sung in Kiswahili)

Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote (The heart is the most deceitful thing)
Una ugonjwa wa kufisha, moyo (It has a destructive disease, the heart)
Ni nani awezaye, kuuchunguza moyo? (Who can examine the heart?)
Ulinde moyo wako, usikupotoshe wewe (Guard Your heart that it may not deceive you)
Na hapo ndipo zitokapo chemichemi za uzima kwa mwanadamu
(That is where the source of human life originates)
Yaani moyo ndiyo chanzo za maisha yako yote, ukumbuke (Remember your heart is the origin of your life)
Linda moyo wako, nawe utaishi (Guard your heart, and you will live)

Moyo, moyo wangu (Heart, my heart)
(Kazi yako, kumbuka moyo) (Remember your duty, my heart)
Kazi yako ni kumtukuza Mungu (Your duty is to glorify God)
(Achana na dunia) (Forget the world)
Uachane na mahangaiko ya ulimwengu (Forget the world’s troubles)
(Uwaze ya mbinguni) (Remember what is of heaven)
Uwaze mambo ya uzima wa milele (Think of eternal things)
Moyo wangu tulia (Tulia moyo, moyo wangu) (Be still my heart) (Repeat)

Bwana naomba, moyo wangu ufanyie marekebisho (Lord I pray to mend my heart)
Bwana naomba, moyo wangu fanyie ukarabati (Lord I pray that you woud repair my heart)
Ondoa jiwe, weka nyama, moyo utulie (Replace the stone with meat, that my heart be at )
Nifuate yale uliyonikusudia niyafanye (To follow what You had purposed for me)
Nisije nikahangaika na mambo yasiyo nihusu (That I may not be distracted with things that don’t concern me)

Moyo, moyo wangu (Heart, my heart)
(Kazi yako, sikia moyo/ni gani moyo/ni nini moyo?) (Remember your duty, my heart)
Kazi yako ni kumtukuza Mungu (Your duty is to glorify God)
(Achana na mambo ya dunia/Uachane na dunia) (Forget the world)
Uachane na mahangaiko ya ulimwengu (Forget the world’s troubles)
(Uwaze ya uzima, moyo/Uyawaze mema/Moyo utulie) (Remember what is of heaven)
Uwaze mambo ya uzima wa milele (Think of eternal things)
Moyo wangu tulia (Sikia moyo, moyo wangu) (Be still my heart) (Repeat)

Tulia, tulia (Be still, be still) x2
Tulia, tulia moyo (Be still, by still my heart)

Moyo, moyo wangu (Heart, my heart)
Kazi yako ni kumtukuza Mungu (Your duty is to praise God)
Uachane na mahangaiko ya ulimwengu (Forget the worries of this world)
Uwaze mambo ya uzima wa milele (Think of eternal things)
Moyo wangu tulia (Be still, my heart)  (Repeat)

Yesu Mtenda Makuu (Jesus, Doer of Great Things) Lyrics by Msanii Music Group

Leave a comment


(Sung in Kiswahili)

Yesu, mtenda makuu (Jesus, doer of great things)
Nina imani nawe (I have faith in You)

Refrain:
Yesu, mtenda makuu (Jesus, doer of great things)
Nina imani nawe (I have faith in You)
Yesu, mtenda makuu (Jesus, doer of great things)
Nina imani nawe (I have faith in You)
Mwananke aliyetokwa na damu (The woman who bled)
Kwa muda wa miaka kumi na mbili (For a period of twelve years)
Aligusa pinde, naye akapona (Touched the hem of His garments, and was healed)
Sina shaka na wewe, hata leo umesimama na mimi (I have no doubt that You stand with me today)
Yesu, mtenda makuu (Jesus, doer of great things)
Kwenye mawimbi mazito (In stormy waves)
Umenishika mkono (You have held my hands)
Yesu, mtenda makuu (Jesus, doer of great things)
Mbele yangu umenitangulia (You go before me)
Umeutuliza na moyo wangu (You calm my heart)
Nikiwa na wewe niko salama (Niko salama) (With You I am safe, I am safe)
Mbele yangu umenitangulia (You go before me)
Umeutuliza na moyo wangu (You calm my heart)
Nikiwa na wewe niko salama (Niko salama) (With You I am safe, I am safe)

Kwenye mapungufu yangu (In my weaknesses)
Nakuomba Bwana unijibu na mimi (Lord, I pray you answer me too)
Maishani mlima (Life is a mountain)
Na bila nguvu zako sitaweza kuupanda (Without You, I cannot climb it)
Ni nani anaweza fanya mambo yake (Who can act)
Pasipo mkono wako Bwana? (Without the hand of the Lord?)
Sina ujanja wa kufanya lolote (I have no cleverness to do anything)
Bila wewe Bwana, ni bure! (Without You Lord, I am nothing!)

(Refrain)

Ole wake anayetegemea nguvu zake (Woe unto him that depends on their strength)
Na amelaaniwa mtu yule (And cursed is they that)
Anayemtegemea mwanadamu mwenzake (Rely upon their fellow human)
Amfanyaye kinga yake (To make them their refuge)
Na kumtemga Muumba wake yeye (And setting aside their Creator)
Mtegemee Mungu siku zote (Depend on God all your days)
Kwa mambo yako, naye atasimama na wewe (And He will stand with you in all your ways)
Utapata ushindi (And you shall be victorious)

(Refrain)

 

Malaika (Angels) lyrics by Msanii Group

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Kisa cha Mafarisayo chashangaza (The case of the Pharisees is amazing)
Walimshika Yesu, wakamsulubisha (They arrested Jesus, and crucified Him)
Wakamlaza kaburini, kisha wakaweka jiwe kubwa (They laid Him in a grave, and placed a large rock)
Wakajua yamekwisha (And thought that it was finished)
Ndivyo watu wengi, maadu zetu (That is similar to many people – our enemies)
Wanayaweka mawe, wakidhani wamezifunga njia (They put rocks thinking they have blocked our way)
Wanaiweka mitego, ili tuanguke (They place traps, so that we fall)
Wasilo lijua: tumezungukwa na malaika (What they do not know: we are surrounded by angels)
Wasilo lijua: tumezungukwa na malaika, wa nuru (What they do not understand: we have been surrounded by an angel of light)

Refrain:
Ni malaika aliondoa jiwe kaburini (It is an angel who removed the stone blocking the grave)
Mwana wa Mungu asiye na hatia kainuliwa (Son of God with no sin was lifted up)
Jaribu linaweza kuwa kubwa kwetu (Temptations maybe many to us)
Ila Mungu huleta mlango wa kutokea (But God opens doors for us to escape)
Jaribu linaweza kuwa kubwa kwetu (Though the temptations may be great for us)
Ila Mungu huleta mlango wa kutokea (But God brings new exits for us)

Walimuua Yesu, kisha wakaweka jiwe (They killed Jesus, and placed a rock)
Kubwa, asiweze kufufuka (A large rock, that He should not rise)
Asikari nao walikesha kule (The guards kept a night vigil)
Mwili wake usipate kuibiwa (So that His body would not be stolen)
Maadui hata wakeshe, neno la Mungu linatimia (Even if our enemies keep a vigil, the world of God will be fulfilled)
Mipango yake hukamilika, ahadi zake hazichelewi (His plans will be completed, and His promises are never late)
Ni mwaminifu Mungu wetu, ni mwaminifu (Our God is faithful, He is faithful)
Ni mwenye Nguvu Mungu wetu, yeye hashindwi (Our God is powerful, He cannot be defeated0)

(Refrain)

Older Entries