(Sung in Swahili)

“Hello”, “hello, habari yako?” (“Hello, Hello, How are You?)
“Niko poa sana mimi, na bado niko” (“I’m doing very well and still here”)
Tunijibu ‘ni poa’ tukisalimiwa (We reply, “all is well” when we are greeted)
Na ndani wengi wetu tunaumia (But a lot of us hurt within)
Picha mtandaoni, maisha bandia (Pictures on the web, fake life)
Kwake Mungu hakuna kimejificha (In God, there is nothing hidden)

Bridge:
Uko salama, kwake pekee yake
(You are safe, in Him alone)
Mikononi mwake, usinyamaze, muite
(In His hand, do not be quiet call him) (Repeat)

Repeat: Muite (Call Him)
Muite Baba leo (Call on the Father today)
Muite Baba leo (Call on the Father today)
Muite, usinyamaze (Call Him, do not be quiet)
Muite Baba leo (Call the father today)
Akupenda wewe (He loves you)
Akusikia leo (He listens to you)
Usinyamaze, muite (Do not be silent, call Him)

Simama, shika we, shika neno
(Stand, hold firm, hold on to the word)
Ita, na Yesu atasikia
(Call, and Jesus will hear)
Mpe zote, shida zako, fikira
(Give him all, your troubles, your thoughts)
Aibu yote, yeye atatua
(Your disgrace, He will solve them)

(Bridge)

Repeat: Muite (Call Him)
Wachana na stress (Leave your stress behind)
Usijinyonge wewe (Do not give up)
Usinyamaze (Do not be quiet)
Kwa shida zako we (In all your troubles)
Aibu zako we (In your disgrace)
Muite, we (Call Him!)
Usinyamaze, muite (Do not be silent, call Him)

(Bridge)

Muite, itana we (Call Him, Call on Him)
Ita Yesu we (Call on Jesus)
Usinyamaze, muite (Do not be silent, call Him)
Atatua leo (He will solve it)
Shida zako leo (All your troubles today)
Usinyamaze (Do not be silent)
Hasira zako, we (Your anger)
Depression, shindwa (Your depression, will be defeated)
Cancer ondoka! (Away with cancer!)
Usinyamaze, muite (Do not be silent, call Him)
Familia yako (Your family)
Katika jina la Yesu (In the name of Jesus)
Oh, muite, usinyamaze muite (Oh call him, do not be quiet, call Him )